What's wrong here

What's wrong here

4:20 am watoto bado wamelala na kama 4:20pm ndio wapo kwenye school bus kurudi majumbani. Pia kama itakuwa weekend sio muda wa kula 4:20


Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Iyo ni stop watch, count down ya wewe kuvumbua nini kimekosewa pichani
 
Hao wa katikati wanatumia mkono Wa kushoto kula
 
Hiyo ni stopwatch haiwezi kuwekwa ukutani
Nime solve kwa 2 seconds
 
Huyo mnyama ananjaa na hajapewa chakula wala maji!!! Haki za wanyama watatusaidia hapo sheria ifate mkondo wake.
 
paka amenuna hajawekewa chakula,wakati wengine wote Wana nyuso za furaha
 
Back
Top Bottom