What's the cheapest best android phone in Tanzania?

What's the cheapest best android phone in Tanzania?

Chukua tecno p3,ipo poa sana ndio nayoitumia nitumapo post hii,ina touch ambayo ipo fasta sana,kwenye net ndoo isiitanie,ni fasta mbaya kwani ina 3g,inasupport facebook,wasup,instagram,you tube na mazagazaga kibao kama gps n.k camera yake sio mbaya no 3megapixels,inatunza chaji vzr,ina memory card ya 8gb,kwa moro bei yake inaanzia 170,000/- na wauzaji wengi wanatoa waranty ya mwaka mmoja,kaaazi kwako mkuu
 
Hebu N-PM mzigo ninao hapa wa maana....ntakupa kwa bei hyo hyo unayo-afford
 
Back
Top Bottom