Sitakufunza tahjudi..ila ngoja nikupe trick za kupata usingi.
- Chagua muda unaopenda kuingia kitandani..kulala
- Ukishafika kitandani vaa nguo nyepesi zitakazokuwezesha kulala bila kubana mwili wako (mishipa ya damu)
- Lala. I mean nenda kitandani mawazo ukiwa umeyaelekeza kulala tu. Fumba macho ukiwa umelala mlalo ambapo upo comfortable
- Usifanye chochote tofauti na kulala (simu zima). Fumba macho halafu uwe ume concerntrate kwenye kusinzia tu.
- Acha kuwaza demu,maisha,shida,mihangaiko ya kesho,malengo nk nk wakati unataka kulala.. waza kulala tu
- Psychological ukifumbua macho bila kukapua kwa muda wa dakika mbili kama una usingiz wote unaisha. Kama unataka kusinzia pia kapua/Blink kwa muda wa dakika 2 harakaharaka. Utayachokesha macho hivyo yatahitaji kupumzika..mwisho utasinzia.
- Hatua hiyo ya juu ikishindikana kabisa hesabu kuanzia 100 mpka 1. Yaani 100,99,98,97....1
Njia zote hizo zikishindikana...
Chukua bilinganya menya katakakata kama chipsi changanya na yai la kienyeji.. kaanga kama vile wanavyokaanga kiepe yai. Kula kwa muda wa wiki..
Nakuhaikikishia within 3 day utakua unaangusha kama mlevi.
NB. Hiyo mixer onaweza kukukifu ila usiache