Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,623
- Thread starter
- #61
Umewahi kujaribu Bloodborne ?Hyo tabia nilikua kuwa nayo kipindi nipo addicted na video games muda mwingine nilikua natoboa hadi asubuhi.
Umewahi kujaribu Bloodborne ?Hyo tabia nilikua kuwa nayo kipindi nipo addicted na video games muda mwingine nilikua natoboa hadi asubuhi.
How is that even possible?Acha kuwaza demu,maisha,shida,mihangaiko ya kesho,malengo nk nk wakati unataka kulala.. waza kulala tu
Nyeto nayo ni kuzini mkuu?Kuzini tatizo la wengi
Aiseee.
asee
karib 6 feet under
Chief funguka ondoa hofu.
Ukitamani tu umekwisha kufanya uasherati (kuzini)Nyeto nayo ni kuzini mkuu?
Basi mimi kuzimu lazima nipewe uongozi.Ukitamani tu umekwisha kufanya uasherati (kuzini)
Rehema za Mungu ni nyingi sana.Basi mimi kuzimu lazima nipewe uongozi.
Chief funguka ondoa hofu.
No naipata lakini sijawahi kuicheza hyo,halafu mi natumiaga ps3 ile platform yake walitoa kwa ps4 tu nahisi.Umewahi kujaribu Bloodborne ?
It's your life bro.
You are a Cannibal Hannah. Do you spit or swallow?Biting my fingernails and picking the skin around my nails.
Sometimes they bleed. It hurts and I cant stop.
Sema kutopenda "kushindwa" kwenye mijadala Zurri.Kupenda sana mijadala, hili ni jambo baya sana ambalo najitahidi sana kuliacha, ila nakaribia kuliacha. Dawa nimeipata.
It's your life bro.
Besides, you are a free man!
Serial??? Porn addiction fucked most of people up. Goodluck sir.1. Serial masturbation and porn. I was told is bad but I keep doing it.
😂😂😂😂Basi mimi kuzimu lazima nipewe uongozi.
Kuna swali nilitaka kuuliza ila nimeacha.Wengi wana fall hapa..
Ask anything you wish..Kuna swali nilitaka kuuliza ila nimeacha.
Nashkuru kwa kusema/ taja janga hili la kitaifa, inawezekana waliotangulia walikuwa wanaona noma wanatudanganya mara wanakesha na gemu, Mara muvi , Mara wanang'ata kucha, Mara kusoma Sana, Mara mijadala, uongo mtupu. Pono muvi ,masturbation na kamari za aina zote, hizi ndizo addiction zinazotesa zaidi. Bila Mungu kuingilia kati tutapiga mark time sana1. Serial masturbation and porn. I was told is bad but I keep doing it.