What's so special with hammer vehicle?

mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,786
4,746
Wadau nimekuwa nikijiuliza sana gari aina ya hammer ina nini haswa? Kwa nini mtu akisema anamiliki hammer watu huwa wanashtuka? Lina tofauti gani na magari mengine ya luxury? Kwa kweli naomba kujuzwa kwenye hili eneo kwa yeyote anayefahamu, thanks.
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,532
2,523
Ni kubwa na linahitaji space kubwa kwa parking. Ukilipeleka Kariakoo watakuibia kila kitu halafu wakuuzie tena kwa kupitia gerezani.
 
Babuyao

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
1,741
265
Nafikiri si luxurious tu lakin ni gari lenye nguvu sana mithili ya kifaru na lenye gharama kubwa. ndo mana mtu akiwa nalo watu wanamwangalia mara mbili-mbili.
 
Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.
 
Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,813
1,031
SIFA yake kubwa ni lazima uwe na Petrol station nyumbani
hummer-h3%20(2).jpg
 
Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
Tanzania hakuna Hummer zenyewe. Nilikuwa naangalia documentary za matajiri wa middle east miaka kadhaaa iliyopita (na wewe utakuwa ushawahi iona), nakumbuka kuna tajiri alisema Hummer yake si ya kawaida (It's not just a Hummer), alikuwa anaipitisha hadi kwenye mchanga mkubwa wa jangwani. Nilisikia walisimamisha uzalishaji wa haya magari.
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,518
11,266
Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.
<br />
<br />
Mmmmh mkuu kwa hizo cc6000 inakula kilomita ngapi kwa lita?
 
Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
611
184
Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.

Bado Hummer is a CHEAP 4x4, in the luxury brand, hii ni trekta nothing less.Compare prices zake na Landcruiser LC100 au LC 200 hapo ndo utaelewa.
SIFA yake kubwa ni lazima uwe na Petrol station nyumbani
hummer-h3 (2).jpg
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,026
2,282
Military Vehicle - watu wanauzia sura - Umasikini wa akili ni umasikini mbaya kuliko umasikini mwingine wowote!
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,786
4,746
Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.

Mkuu cc 6000 kama wewe siyo fisadi litatembea kweli? Ni kwa nini mtu utumie gharama kubwa sana kuonesha utofauti wako angali kuna hosptal hazina vitanda na dawa? Mbona kuna watoto wengi tu mtaani wanashindwa kusoma kwa kukosa ada ya kulipia shule? Je, huwezi kugusa Taifa la kesho kwa kusomesha angalau watoto wachache wanaoteseka mtaani? Je, huyu mtoto ukimsomesha akiwa daktari si itakuwa advantage kwa jamii nzima inayotuzunguka? Na kama hiyo gari ni ya kutembelea tu haizalishi chochote, hizo hela haziwezi kununulia gari ya kawaida tu ya kutembelea na hiyo nyingine inayobakia ikawa invested na kutoa ajira zaidi kwa jamii? Mimi nashauri watanzania tufikiri sana kabla ya kufanya decision ya kushindana kwa kununua magari, tushindane kwa kusaidiana kuinua uchumi wetu wenyewe.
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,499
23,877
mi mwenyewe nimeona HUMMER kwa mala ya kwanza mwaka jana kwenye maonyesho ya kijeshi pale air wing banana dar es salaam.nililikubali si kwa muonekano tu bali speed yake na uimara.hummer niliyoiona ilikuwa haitumii ufunguo,kuna kidude unapress kama computer vilevile haina gia nyingi ina gia tatu.matairi yake ni special kuzuia risasi.lina tyre two in one so ikipata pancha tairi ya juu unatembelea tairi ya ndani,inanguvu ya kuvuta conteiner 40ft iliyojaza mzigo.rejeta yake imelala.inapita sehemu yoyoyte.mia
 
JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
Nafikiri si luxurious tu lakin ni gari lenye nguvu sana mithili ya kifaru na lenye gharama kubwa. ndo mana mtu akiwa nalo watu wanamwangalia mara mbili-mbili.

nadhani watu wanashangaa hummer huku wakisahau magari yatumiwayo na viongozi wa serikali ni ghali kuliko hummer. agaalia bei

New Car Price
Car Insurance
Car Loans
[h=1]Toyota Land Cruiser V8 4.5 D-4D V8 5dr Auto[/h]
Type: New Car
Colour: All Colours Available
Delivery: Standard manufacturer lead timeDEAL PRICE:
£56,436
Discount: £4,114 (7%)

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Kumbe limepewa sifa tu. Hizo bei hazifikii hata za Land Cruiser Gx V8.
 
Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
611
184
Kumbe limepewa sifa tu. Hizo bei hazifikii hata za Land Cruiser Gx V8.

Kipya kinyemi, Hummer ni trekta tu kenye nguvu, nitasita kuiita kuxurious maana kwa uzito lililonalo ni la kufanya vitu vizito.
Nimezikuta hizo Dubai kwa wingi sana (H2,H3) na nilishangaa bei zake hazifikii Landcruiser iliyotulia.
lrg_toyota_land_cruiser_v8_diesel_sw_19965.jpeg
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
Kama issue ni price hapa kuna list ya top 10 expensive cars 2011/2012
Most Expensive Cars In The World: Top 10 List 2011-2012

na inayoongoza ni hii hapa

bugatti-veyron1-revise.jpg

1. Bugatti Veyron Super Sports $2,400,000. This is by far the most expensive street legal car available on the market today (the base Veyron costs $1,700,000). It is the fastest accelerating car reaching 0-60 in 2.5 seconds. It is also the fastest street legal car when tested again on July 10, 2010 with the 2010 Super Sport Version reaching a top speed of 267 mph. When competing against the Bugatti Veyron, you better be prepared!

Lakini nadhani Hummer sababu ya size yake.., bei yake ya kununulia, shape yake na inavyokunywa mafuta ni rahisi kwa watu kupinda shingo na kuangalia tofauti na cruser au gari jingine dogo mtu wa kawaida anaweza aka-mistake kama ni gari la kawaida tu la bei rahisi mpaka kwa wale wanaojua magari
 
Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,706
1,788
Mwenyewe nilipoangalia price zake kwenye mtandao nilishangaa sana. It is less cheaper than V8. Labda huo uimara na lishoo la gari ndo linatushangaza. Wanaotumia hizo huitwa mafisadi kumbe.... wa V8 na VX ndo mafisadi.
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,786
4,746
Military Vehicle - watu wanauzia sura - Umasikini wa akili ni umasikini mbaya kuliko umasikini mwingine wowote!

Aaah, kumbi ni gari la kivita tu tena linalofanana na tractor!!!! Nlilifikiri linazidi haya hapa chini...bugatti-veyron1-revise.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom