mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Hivyi connection za ts zinapatikana wapi?
Wanakutafuta wenyewe mkuu
Hivyi connection za ts zinapatikana wapi?
Kwani kabla ya kua PSU hawakua na kazi?
Ungesoma kwa umakini nilicho andika ungeliona jibu,Inaonekana huna jibu..! [emoji23]
Ungesoma kwa umakini nilicho andika ungeliona jibu,
"Ninaposema "Kwani kabla ya kua PSU hawakua na kazi?"
Ina maanisha kua walikua na kazi zao,au wewe unafikiri waliokotwa tu mitaani?
Unaonekana ulimpa tabu sana Mwalimu wako Darasani kukufahamisha!Kazi zipi yaani unamaanisha ? Kabla ya kuwa walinzi wa Rais au kuingia TISS ?
Unaonekana ulimpa tabu sana Mwalimu wako Darasani kukufahamisha!
Kabla ya kua PSU walikua na kazi zao,usifikiri hao walinzi utakutana nao kwenye vijiwe vya kahawa,
Halafu tambua kua hao ni TISS.
Wengine wanalipwaDaah hawa wadau kuna kitu beyond the reality wanakijua , ni vile Tu maadili hayaruhusu
Yan umpe ubalozi mlinzi ambae hajasomea diplomasia wala uongozi.. mbona unakuwa mjinga hivyo jamaa yangu na hufanyi juhudi zozote kuficha ujinga wako?
Zaman sio sasa siku hizi diplomasia ni cha kiraiaWewe ndiyo mjinga kabisa,wengi wa wana ulasama,wamesoma pale Diplomasia hata kama kasoma chuo kingine,lakini anaenda kunoa maarifa mengine pale,kwa taarifa yako!
Yan umpe ubalozi mlinzi ambae hajasomea diplomasia wala uongozi.. mbona unakuwa mjinga hivyo jamaa yangu na hufanyi juhudi zozote kuficha ujinga wako?
Wengine wanalipwaView attachment 1742240
wakalime matikiti yanalipa Sana sokoni
Sio lazima uwe full Balozi,unaweza kua mkuu wa protocol tu huko ubalozini! Huoni ni moja ya mashavu! Hao walinzi hawawezi achwa hivi hivi! Yule mjeda ni Kanali na soon utasikia kawa ni Brigedia General! Ally na Anord wale waliokua wanasimama pembeni ya Magu,huwezi waona kitaa wanasugua sori za viatu,watapewa tu ulaji tena Nje ya Nchi! Ukisema waende kufanya kazi let's say wizarani,hawatakua free,maana si wanajulikana kua ni nyoka,watu watakua wanawaogopa tu!
Wengine wanalipwaView attachment 1742240
Hivi kama hujui Jambo jamani au huna hakika nalo si Bora unyamaze kuliko kuongea utumboJiulize rais akistafu walinzi hua wanaenda wapi,kifo kimemstaafisha magufuli...Samia akipenda anaweza kuwapa ubalozi nchi mbalimbali
Ww jamaa acha hizo basi nani ambae kawai kutoka kuwa presidential security unit akateuliwa nafasi ya ubalozi....sema wanakuwa deported wanaenda kuwa ma afisa usalama as usual kwene ubalozi husika....Wewe ndiyo mjinga kabisa,wengi wa wana ulasama,wamesoma pale Diplomasia hata kama kasoma chuo kingine,lakini anaenda kunoa maarifa mengine pale,kwa taarifa yako!
kumpamba raisi😏😏😏🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kazi ya Mpambe wa Rais ni nini ??
Dr Slaa😏😏🏃♂️🏃♂️🏃♂️, baada ya ukamanda huko CHADEMANiNitajie mlinzi mmoja aliyeenda kuwa balozi..
Kabla ya kuingia PSU hatujui walikuwa wapi kwakweli.....wenda walikuwa PSU ila hawakuwa bado walinzi wa raisi...ipo hivi TISS inakitengo cha PSU si kana kwamba kuwa psu ni uwe kwene unit ya ulinzi wa rais no, hata wale wanaomlinda vp,wanaomlinda waziri mkuu,wanaolinda ikulu,wanaolinda viwanja vya ndege na bandari wapo kwene hii unit( presidential security unit) yani nikitengo cha ulinzi ambacho kipo chini ya ikulu ndani ya TISS....maafisa wote wa usalama ambao wapo wanalinda rasilimali za taifa na viongozi wote wapo PSU na tunawaona na wanajulikana...ila wale undercover wapo intelligence unitUngesoma kwa umakini nilicho andika ungeliona jibu,
"Ninaposema "Kwani kabla ya kua PSU hawakua na kazi?"
Ina maanisha kua walikua na kazi zao,au wewe unafikiri waliokotwa tu mitaani?