‘Whats Next’ kwa hawa walinzi wa Hayati Magufuli?

Habari za wakati huu ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, Mlioko ndani ya mipaka ya kisiwa Cha Amani au Nje ya Kisiwa Hiki.

Nianze na musema poleni kwa msiba wa Kiongozi wetu pendwa.! Tulimpenda ila Muumbaji wake kampenda zaidi.

Ngoja niende kwenye hoja..! Mzee Magu kipindi cha uhai wake kama Rais alikuwa analindwa kwa kila namna na Jopo la watu Makini sana...Usalama Wa Taifa.

Swali langu ni dogo tu, Kama hivi ilivyotokea waliyekuwa wanamlinda tayari ameshaitwa kwa Mwenyezi Mungu, hawa walinzi wake wanapangiwa majukum memgine au inakuwaje..!??

Naomba unisaidie kama unalo jibu ila kama huna si vibaya ukamuita anayefahamu mambo haya ya Protocol

View attachment 1732798
Fresh tuu mbona wunarudi kitengo kingine.
Hapa ni maisha ya home kabisa kiroho safi tuu kazi ni popote hata porini fresh tuu
165639951_470782044118709_6483618886195190430_n.jpg
 
Jiulize rais akistafu walinzi hua wanaenda wapi,kifo kimemstaafisha magufuli...Samia akipenda anaweza kuwapa ubalozi nchi mbalimbali
 
Wataendelea nakazi Yao ila kazi ilio Baki sahivi nindogo tofaut na mwanzo saiv wanakibarua cha kulinda kabuli ndani yamiaka 5 ilio baki
Ilitakiwa kaburi lisilindwe ili watu wakafanye mambo yao juu ya kaburi
 
Sio lazima uwe full Balozi,unaweza kua mkuu wa protocol tu huko ubalozini! Huoni ni moja ya mashavu! Hao walinzi hawawezi achwa hivi hivi! Yule mjeda ni Kanali na soon utasikia kawa ni Brigedia General! Ally na Anord wale waliokua wanasimama pembeni ya Magu,huwezi waona kitaa wanasugua sori za viatu,watapewa tu ulaji tena Nje ya Nchi! Ukisema waende kufanya kazi let's say wizarani,hawatakua free,maana si wanajulikana kua ni nyoka,watu watakua wanawaogopa tu!

Usemayo ni kweli,

Kuna yule white alikuwa pembeni ya hayati mwanzoni, sasa ni Head wa procurement TCRA.

Wengi wamesoma vizuri wana had masters. Siyo walinzi wa kuokoteleza.
 
Yan umpe ubalozi mlinzi ambae hajasomea diplomasia wala uongozi.. mbona unakuwa mjinga hivyo jamaa yangu na hufanyi juhudi zozote kuficha ujinga wako?
Kwa sababu unaona wamevaa gwanda wanafanana na wale walinzi wa Security za mtaani.. nyamaza tu kama hujui uangalie michango ya watu labda utaelimika kuliko kuita watu wajinga.

Huko jeshini kuna kozi nyingi sana wanapitia mpaka kufika hapo.

Unazani ni rahisi tu mpaka kuwa mlinzi wa Rais.
 
Nitajie mlinzi mmoja tu toka nchi hii imeanza mpaka leo Ni Balozi..Acha maneno mengi
 
Habari za wakati huu ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, Mlioko ndani ya mipaka ya kisiwa Cha Amani au Nje ya Kisiwa Hiki.

Nianze na musema poleni kwa msiba wa Kiongozi wetu pendwa.! Tulimpenda ila Muumbaji wake kampenda zaidi.

Ngoja niende kwenye hoja..! Mzee Magu kipindi cha uhai wake kama Rais alikuwa analindwa kwa kila namna na Jopo la watu Makini sana...Usalama Wa Taifa.

Swali langu ni dogo tu, Kama hivi ilivyotokea waliyekuwa wanamlinda tayari ameshaitwa kwa Mwenyezi Mungu, hawa walinzi wake wanapangiwa majukum memgine au inakuwaje..!??

Naomba unisaidie kama unalo jibu ila kama huna si vibaya ukamuita anayefahamu mambo haya ya Protocol

View attachment 1732798
Hawa wana ofisi zao. Kabla ya kupelekwa kumlinda rais bosi wao aliwatuma kazi hiyo. Kimaandili sikutajii ofisi zipo wapi lakini watarudi na kupangiwa kazi nyingine.
 
Habari za wakati huu ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, Mlioko ndani ya mipaka ya kisiwa Cha Amani au Nje ya Kisiwa Hiki.

Nianze na musema poleni kwa msiba wa Kiongozi wetu pendwa.! Tulimpenda ila Muumbaji wake kampenda zaidi.

Ngoja niende kwenye hoja..! Mzee Magu kipindi cha uhai wake kama Rais alikuwa analindwa kwa kila namna na Jopo la watu Makini sana...Usalama Wa Taifa.

Swali langu ni dogo tu, Kama hivi ilivyotokea waliyekuwa wanamlinda tayari ameshaitwa kwa Mwenyezi Mungu, hawa walinzi wake wanapangiwa majukum memgine au inakuwaje..!??

Naomba unisaidie kama unalo jibu ila kama huna si vibaya ukamuita anayefahamu mambo haya ya Protocol

View attachment 1732798
Watapelekwa kwenye balozi mbali mbali kutumika
 
Back
Top Bottom