Whats happening!Siku hizi kila harusi nikiisikia Bi Harusi anakuwa anatoka Moshi au Arusha

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Eti jamani nisaidieni kujua hili, kwenye siku za hivi karibuni karibu harusi 75% nilizohudhuria au kusikia basi bi harusi wanatoka Arusha au Kilimanjaro. Kunani huko siku hizi wanaume wote wanakimbilia pande hizo?
 
Saint Ivuga, acha kashfa zako bwana. Kama ni hivyo kwanini isiwe wanaume wanataka watafutaji ili wao wachukue retirement mapema?

Maana nasikia wa huko kwa kuitafuta chapaaa duuuh
 
Last edited by a moderator:
sio kwamba watu wako wengi wa karibu ni wa mitaa hiyo?...
 
siku hizi watu hawaoi mwanamke ambaye hajasoma..
Kama hujaelewa wadau watakuja hapa sasa hivi kukuelewesha
Dah kama ni kusoma sio wale wa kule kwa kina "iwe" ndio wangekuwa wengi zaidi au nimekosea mkuu?
 
Saint Ivuga, acha kashfa zako bwana. Kama ni hivyo kwanini isiwe wanaume wanataka watafutaji ili wao wachukue retirement mapema?

Maana nasikia wa huko kwa kuitafuta chapaaa duuuh
Hahahahaaa ili wawe "Baba wa Nyumbani"
 
Mchaga, muarusha, wenzangu wa kule babati(a.k.a rough road) na mto wa mbu they are very cheap na wanaume wanawapata kirahisi sana kuliko msukuma yeye atakuzungusha zungusha sana mwishowe unakata tamaa....
 
Eti jamani nisaidieni kujua hili, kwenye siku za hivi karibuni karibu harusi 75% nilizohudhuria au kusikia basi bi harusi wanatoka Arusha au Kilimanjaro. Kunani huko siku hizi wanaume wote wanakimbilia pande hizo?

Kuanzia september mpaka december ndo siku za jamaa wa huko kuoa na kuolewa......!!
 
Saint Ivuga, acha kashfa zako bwana. Kama ni hivyo kwanini isiwe wanaume wanataka watafutaji ili wao wachukue retirement mapema?

Maana nasikia wa huko kwa kuitafuta chapaaa duuuh

Madame x sikupanga kutoa kashfa..nilimaanisha other things remain constant. Siwadharau wanawake wa pande zingine nawapenda pia tena sana but i love CUTE more
 
Last edited by a moderator:
Sisi wakwere tulie tu!
Nyie tabu yenu hata mkiolewa bado mnataka kwenda ngomani wiki nzima wakati mumeo yuko home sa ndugu zangu wasukuma hawayawezi hayo na wale jamaa zangu wa tarime watakugecha masikio
 
Mchaga, muarusha, wenzangu wa kule babati(a.k.a rough road) na mto wa mbu they are very cheap na wanaume wanawapata kirahisi sana kuliko msukuma yeye atakuzungusha zungusha sana mwishowe unakata tamaa....
tabia ya mtu haiendani na yy ni kabila gan kwanza siku hizi wengi wa watanzania viruka njia wangekua cheap wangekua wife material au unahisi kuna mtu anataka kuoa matatizo?mi naisi imetokea coincidence kua 75% ya hao alosikia wanaoa wa huko but ata wengine wanaolewa.
 
Mh, lakini inasemekana kwa wingi kuna watu wanaitwa wasukuma, why not them? au hawa ndio wako wife materials zaidi ya wengine?

maana yangu ni kwamba wengi wa jamaa zako wengi hutokea huko kaskazini...kwa mantiki hiyo inakuwa rahisi kujua taarifa zao.
hata hivyo wingi wa Wasukuma haimaanishi idadi kubwa ni wanawake au idadi kubwa ni rika la kuolewa
 
Mh halafu bahati mbaya sana huko Arusha na Moshi huwa naenda kikazi tu mara moja moja sana so its not like washkaji na watu wangu wa karibu wanatoka huko. Wengine wanatoka mbeya, iringa na ruvuma
 
Chagga si ndi wanabeba jina la Album Tz. Now, ...wamewafunika WAhaya. Hadi kwenye Mambo yetu yale

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hahahaaa mambo gani tena hayo mkuu, hebu tujuze kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom