Whats happening!Siku hizi kila harusi nikiisikia Bi Harusi anakuwa anatoka Moshi au Arusha

Wachaga ndio mabingwa wa kuoa/kuolewa na ni wao kwa wao,cc wengne ndoa co deal kwetu hata matangazo ya tanzia especialy radio one wote ni wa huko huko!!
 
huyo jamaa aliyesema
kilimanjaro wanakeketwa ni mpumbavu sana, na anachosema hakijui! pia
asije sahau tanzania hii bila wazawa wa k'njaro haiwezekani. watu
waliopiga hatua tokea enzi za mababu! my grandma is now 80's yrs old sh
no nothng abt ukketaji

K'njaro kubwa jamani ila kuna maeneo mengi K'njaro wanakeketa ingawa siku hizi wanapiga vita.
 
kwasababu wasichana wa kirombo wametulia sana,ha ha ha ha haaaaa hasa mim nime2liaaa,kiroho safi,barida.......ndo maana mamens wanakimbilia rombo.
 
Mkuu wala hata sikutukani, mi
niliisikia pia nikastuka ikabidi niulize, na niliamua kumuuliza mtu
kutoka huko pamoja na kubisha mwanzoni baadae akasema ni kweli ingawa
akadai siku hizi inapungua

Ni mchagga wa pande zip uliemuliza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom