Whats happening!Siku hizi kila harusi nikiisikia Bi Harusi anakuwa anatoka Moshi au Arusha

naomba nimsahihishe mchangiaj (kifulambute) aliepaita babati(rough road)siku hizi ni lami ukitoka arusha mpaka kwa bb ake singida,wifi ake dodoma.................................
 
ukweli ni kwamba pande hizo huwa hazina mila za ajabu ajabu, kuna mila nyingine bwana hazifai kabisa, vile vile watu wako straight
 
ukweli ni kwamba pande hizo huwa hazina mila za ajabu ajabu, kuna mila nyingine bwana hazifai kabisa, vile vile watu wako straight
Mh mila kama zipi hizo mkuu? Na kama makabila yapi yana mila za dizaini hiyo?
 
ukweli ni kwamba pande hizo huwa hazina mila za ajabu ajabu, kuna mila nyingine bwana hazifai kabisa, vile vile watu wako straight
Inaweza ikawa ni kweli. Lakini fuatilia ujue sakata la mtu wa kabila lingine kuoa au kuolewa na mchaga(ktk mila za kichaga).
 
Unachekesha kweli wewe.

Mimi kwa mtazamo wangu tu.....nadhani wanawake wa maeneo hayo wanakuwa wana mvuto kwa nje..namaanisha ni wazuri....nieleweke vizuri hapa wengi wao.....ingawa kwa experience yangu... Nawaona hawako vizuri sana katika mahaba..yaani they are not romantic...not at all....yale mahaba yetu tuliyoyazoea kwetu pwani na bara hawa watu hawana kabisaaaaa yaani ziro.....wanafikiria sana mambo ya pesa na material things....kwa hiyo watu wengi inakuwa rahisi sana kuvutwa na huo muonekano wa nje...wakiingia kwa kweli huwa hawaenjoy mahaba....kwa hiyo unaishia kusifiwa tu kwamba mwanamke wako ni mrembo na mzuri...but in reality......wewe mwenyewe ndio huwa unaujua ukweli....ndani huwa hawako romantic....na huwa wana presha sana ya kukupush ufanye mambo ya maendeleo hata kama anakuona huna uwezo huo.....unaweza kuishia kuwa mwizi ili umfanye akuone unafanya mambo ya maendeleo......hawanaga mapenzi ya kweli ila anakupenda kama unacho.....mahaba hakuna kabisa....

Iliwahi kunitokea,,,,na nina bahati mbaya nao kweli...cha kushangaza watu walikuwa wananiambia demu wako mkali aiseee... Kwa nini usihalalishe? Mimi nilikuwa naigiza sana ..lakini ukweli nilikuwa naujua mimi kwamba anienzi kama nilivyozoea kuenziwa huku kwetu bara...

Cha kushangaza nikaanza kutafuta mwenye mahaba kinmya kimya...nikagongana na binti mmoja anavutia sanaa...kumchunguza anatokea wapi nikashangaaa ananiambia anatokea ule mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote africa....nikaona nna bahati mbaya sana.....now ndio namsoma soma...ila yeye ni mdogo sana kwa umri....na namuona kama yuko tofauti...ni mpole na anasikiliza zaidi...hajawahi kuongelea mambo ambayo yalinifanya niwadisqualify ndugu zake niliowahi kutoka nao kabla.....kama ananivutia kiasi....
 
Ukitaka kuongea fikiria kwanza unachoongea una uhakika nacho? KILIMANJARO wanakeketwa?
 
huyo jamaa aliyesema kilimanjaro wanakeketwa ni mpumbavu sana, na anachosema hakijui! pia asije sahau tanzania hii bila wazawa wa k'njaro haiwezekani. watu waliopiga hatua tokea enzi za mababu! my grandma is now 80's yrs old sh no nothng abt ukketaji
 
huenda ikawa ni kweli ngoja tufanye uchunguzi wa kina kama ni uzuri na tabia yao au kuna Dr mkombozi kutoka katavi yuko behind
 
Labda huko ndio bado watu wanashobokea ndoa,huku kwingine mhhh,ndoa zilishasahaulika longi. Kuoana leo kuachana kesho.
 
Wakule ni very cheap.....
Ukipewa ni kama unauziwa shati au suruali,Linakuwa la kwako kabisa maana wao (mabinti) kenye urithi huwa hawapewi kitu,so wakija wanakuwa na jitihada za kutafuta mali zao,kifupi hawana cha kurithi kutoka kwao!
 
Nashaka sababu wakule hawajui kusex, kwa hio hata ukimpapasa anaona sawa tu :biggrin:
 
huyo jamaa aliyesema kilimanjaro wanakeketwa ni mpumbavu sana, na anachosema hakijui! pia asije sahau tanzania hii bila wazawa wa k'njaro haiwezekani. watu waliopiga hatua tokea enzi za mababu! my grandma is now 80's yrs old sh no nothng abt ukketaji

mkuu unadhani ur grandma atakuambia? siri yote anaijua ur grandpa!
 
Ni kwasababu ni wazuri huwezi kuwafananisha na warufiji, mkuranga,kigoma, mbeya, kilwa au mtwra
 
huyo jamaa aliyesema kilimanjaro wanakeketwa ni mpumbavu sana, na anachosema hakijui! pia asije sahau tanzania hii bila wazawa wa k'njaro haiwezekani. watu waliopiga hatua tokea enzi za mababu! my grandma is now 80's yrs old sh no nothng abt ukketaji

mkuu unadhani ur grandma atakuambia? siri yote anaijua ur grandpa!
 
huyo jamaa aliyesema kilimanjaro wanakeketwa ni mpumbavu sana, na anachosema hakijui! pia asije sahau tanzania hii bila wazawa wa k'njaro haiwezekani. watu waliopiga hatua tokea enzi za mababu! my grandma is now 80's yrs old sh no nothng abt ukketaji

mkuu unadhani ur grandma atakuambia? siri yote anaijua ur grandpa!
 
Ukipewa ni kama unauziwa shati au suruali,Linakuwa la kwako kabisa maana wao (mabinti) kenye urithi huwa hawapewi kitu,so wakija wanakuwa na jitihada za kutafuta mali zao,kifupi hawana cha kurithi kutoka kwao!
Mh this is interesting, kumbe ndivyo ilivyo eeh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom