Hahahahaaa ili wawe "Baba wa Nyumbani"Saint Ivuga, acha kashfa zako bwana. Kama ni hivyo kwanini isiwe wanaume wanataka watafutaji ili wao wachukue retirement mapema?
Maana nasikia wa huko kwa kuitafuta chapaaa duuuh
Eti jamani nisaidieni kujua hili, kwenye siku za hivi karibuni karibu harusi 75% nilizohudhuria au kusikia basi bi harusi wanatoka Arusha au Kilimanjaro. Kunani huko siku hizi wanaume wote wanakimbilia pande hizo?
Saint Ivuga, acha kashfa zako bwana. Kama ni hivyo kwanini isiwe wanaume wanataka watafutaji ili wao wachukue retirement mapema?
Maana nasikia wa huko kwa kuitafuta chapaaa duuuh
tabia ya mtu haiendani na yy ni kabila gan kwanza siku hizi wengi wa watanzania viruka njia wangekua cheap wangekua wife material au unahisi kuna mtu anataka kuoa matatizo?mi naisi imetokea coincidence kua 75% ya hao alosikia wanaoa wa huko but ata wengine wanaolewa.Mchaga, muarusha, wenzangu wa kule babati(a.k.a rough road) na mto wa mbu they are very cheap na wanaume wanawapata kirahisi sana kuliko msukuma yeye atakuzungusha zungusha sana mwishowe unakata tamaa....
Mh, lakini inasemekana kwa wingi kuna watu wanaitwa wasukuma, why not them? au hawa ndio wako wife materials zaidi ya wengine?
Mh halafu bahati mbaya sana huko Arusha na Moshi huwa naenda kikazi tu mara moja moja sana so its not like washkaji na watu wangu wa karibu wanatoka huko. Wengine wanatoka mbeya, iringa na ruvumamaana yangu ni kwamba wengi wa jamaa zako wengi hutokea huko kaskazini...kwa mantiki hiyo inakuwa rahisi kujua taarifa zao.
hata hivyo wingi wa Wasukuma haimaanishi idadi kubwa ni wanawake au idadi kubwa ni rika la kuolewa