Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,488
- 34,791
- Thread starter
- #81
Kwa kweli alifanya gambling moja ya kiboya Sana , naona kama mziki unaenda kuwa tough Sana Kwa huyu kijana , ameahrisha tamasha lake na badala yake amepanga chap chap tamasha mtwara the same day , yaan hakai akatulia , amepanga pia Konde gang tour , Aina ya tamasha ambalo jembe ni jembe alianzisha jembeka festival kule Mwanza akaishia kuangukia pua ......Mistake kubwa aliyoifanya kijana na ambayo haitajirudia ni pale alipoitwa na kayafa na kuambiwa "natamani ungekuwa mmbunge wa jimbo hili," hyo ilikuwa ni tiketi tosha ya kuchukua fomu kwenye huu uchafuzi ulioisha na angekuwa mjengoni mida hii pamoja na kina f. A
Ngoja tuone, ila akikaa akatulia utunzi wake naukubali Sana