What went wrong with Harmonize

Mistake kubwa aliyoifanya kijana na ambayo haitajirudia ni pale alipoitwa na kayafa na kuambiwa "natamani ungekuwa mmbunge wa jimbo hili," hyo ilikuwa ni tiketi tosha ya kuchukua fomu kwenye huu uchafuzi ulioisha na angekuwa mjengoni mida hii pamoja na kina f. A
Kwa kweli alifanya gambling moja ya kiboya Sana , naona kama mziki unaenda kuwa tough Sana Kwa huyu kijana , ameahrisha tamasha lake na badala yake amepanga chap chap tamasha mtwara the same day , yaan hakai akatulia , amepanga pia Konde gang tour , Aina ya tamasha ambalo jembe ni jembe alianzisha jembeka festival kule Mwanza akaishia kuangukia pua ......

Ngoja tuone, ila akikaa akatulia utunzi wake naukubali Sana
 
Kwahiyo mkuu kumbe mziki hauwalipi kama mkwanja wa ubunge... Maana utasikia napiga show wa dollar 15000 nimesaini deal la umbassador milion mia, ukipiga hesabu unaona wanaingiza mpunga mrefu
Ha haa mi niliskia harmonize Kala mil 400 Kwa mwaka pale CRDB , sjui Kwa Sayona , ila Kwa pepsi diamond Kala 1billion.....
Huenda wanapata labda mgawanyo wa wadau unawezaje jikuta unalamba kduchu
 
Ha haa mi niliskia harmonize Kala mil 400 Kwa mwaka pale CRDB , sjui Kwa Sayona , ila Kwa pepsi diamond Kala 1billion.....
Huenda wanapata labda mgawanyo wa wadau unawezaje jikuta unalamba kduchu
Na ile tuliyosikia ya mheshimiwa wa kisarawe kabla ya kupata uteuzi kwamba kala bilion 3 vipi
 
Huyu jamaa nakumbuka mwaka mmoja kabla kuondoka WCB alikuwa moto hata kuliko Diamond yan inshort nilimuona kama ndo nwanamziki bora Tanzania! Alivyoondoka WCB jamaa akaanza kuzingua sana af udhaifu wake mkubwa ni kwamba anakurupuka sana na kutaka kushindana na management yake ya zamani!! Kila siku ana sign wasanii wapya af wale wa mwanzo bado hawajafika popote! Me nilijua akitoka kule atakuwa ameondoka na maujanja ila ase anakurupuka sana,Aisee jamaa sijui anawazaga nini hivi unaanzje kusign wasanii label zaid ya wa 4 ndan ya miez tu! Af anasign wasanii wasiokuwa na maajabu!! Hao wasanii mda sio wataondoka zao! Sema jamaa tatizo kubwa ni kwamba anazungukwa na watu wasiojua mziki ndo maana
Buuuh hadi sasa anaongelewa Na wcb Na udaku wa wcb ote hawatomusahau harmonize
 
Buuuh hadi sasa anaongelewa Na wcb Na udaku wa wcb ote hawatomusahau harmonize
Hawato msahau sababu ni project yao ya kwanza,vilevile yeye mwenyewe hatowasahau WCB kwa muokota huko baada ya kuambiwa hana kipaji na BSS,wao wakamchukua wakamfundisha zaidi ya miaka mitatu,wakampromoti na hatimaye kuwa mwanamziki mkubwa East Africa.

Kila mmoja kaacha alama kwa mwenzake.
 
Sio uongo aisee, maana kwa promo aliyopewa kwa vyovyote vile jina lake lisingekatwa, na angekuwa mjengoni saa hzi.
Kufikia 2025 sjui kama status yake itakuwa ipo juu tena kuweza kupata promo ya namna Ile, au CCM watamuona Choo Tu ....akaze kwenye mziki tuu sasa japo napo daah kawekwa mtu Kati Kwa sasa
 
Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.

Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.

Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.

Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
Jukwaaa linamuhusu kisheria za Jf
Alafu tambua cerebrite wapo Kwa Ajili ya mashavuni,kufatilia kazi zao,Maisha Yao, na shida zao
Asipofatiliwa pia Sanaa yake Inakufa
 

Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom