Tangu sasa nitakuwa namfuatilia sana Rayvanny kwenye Digital Platforms zote

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,484
34,786
Huyu mwamba huwa namwelewa Sana, hasa ngoma zake za kubembeleza , ni fundi haswa , sioni mpinzani Kwa huyu king Leopard , ..... First nilimuapreciate sana Dimond Kwa ngoma zake za hsia lakn tangu aturn back na kuanza kuimba ngoma ambazo mi binafsi simuelew , nafkr yeye Kwa kutafta soko nje but kwangu mi simwelewi hata kdog ,

Nilimpenda pia Harmonize , lakini naye tangu atoke WCB kichwa chake hakijatulia kabisa nahs pressure ya WCB inamfanya kichwa chake kijae verse za vijembe , amebak Ali kiba ambaye nyimbo zake nazipenda , mbali ya hayo yote mwamba Rayvanny ni kichwa hasa , sometyme anaimba hzo pochi Nene, mara gongigo , kwangu Mimi hzo zisipend ila nyimbo zake za romantic ni sniper killer .....

Jiwe aliloachia My number one ft Zuchu aiseeee nimekesha naisikiliza hyo mashine , Lizer kaua Sana , biti nzito inagonga kwenye Sony mpak raha , Zuchu kaflow kibabe Sana , very romantic , Rayvanny is my favourite singer Kwa sasa.....ashikilie hapo hapo tuendelee kuburudika Wana

rayvanny_20201114_3.jpg
 
View attachment 1626566
Dogo Ni fundi haswa ngoma Ni Kali Sana nimesikiliza Kama Mara 5 hivi alafu uichoki kuisikiliza.
 
Back
Top Bottom