What went wrong with Harmonize

Ila mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.

Mmekuwa radicalized kama wafuasi wa Trump. Mnatia sana huruma aisee.
Hawa jamaa kama mambuzi vile..yaani wanafurahi kuona Harmonize ngoma haziendi.

Mtu unayejielewa when it come to music inabidi usikilize muziki mzuri tu,mambo mengine ni ya kipumbavu unaachana nayo.
 
Niliisikiliza ile nyimbo ya " Mtaje " aliyo iperform na band naona ipo poa.

Tatizo la Harmo hapangilii mambo yake basi,yy aendee polepole huko mbele atachanganya,sasa hivi katoa nyimbo na Angela sasa sijui Cheed na Killy watatoka lini.

Labda tumuulize Robidinyo ,oya Spartacus mnyama mkali Cheed na Killy wanaachia lini projects zao? Siku hizi umewasusa hutupi habari zao kama zamani.
 
Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.

Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.

Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.

Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
Jama la Facebook hili Nili admin lama group za ngono ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom