What story dont you like to hear from Men? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What story dont you like to hear from Men?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NewDawnTz, May 10, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni fursa kwa wakina dada na wakina mama, uwanja wenu

  Personally (sijui kama wapo na wengine) ningependa kufahamu ni aina gani ya mazungumzo (Neno au theme yenyewe) ambayo mara nyingi (kama sio mara zote) hupendi kuisikia kutoka kwa mumeo au mpenzi wako wa kiume?

  Ni nini mara nyingi unapenda kukisikia kutoka kwake (neno au theme)?

  Tusaidieni tufahamu
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh haya we kweli mapenzi yana run dunia
  Mi napenda kumskikia akinisifia nimependeza,ninampikia chakula kizuri,mm mzuri (naamini hakuna mwanamke mbaya),anapenda nikimnyoshea nguo zake,anapenda navyonukia,anapenda mechi zetu za mchangani lol:A S-baby::A S-baby::A S-baby::bange::bange::bange:

  SIPENDI MWANAMME ANIITE"WE MWANAMKE"
  sipendi mwanamme mchafu(harufu ya jasho,zo kunajasho lile linanukia vizuri but kuna hili lingine hili mmmh)
  Sipendi mwanamme mlevi kupindukia(awe mnywaji kiasi)
  Sipendi mwanamme asofanya kazi ajishughulishe japo mkono uende kinywani,(japo baba arudi hme na kipande cha samaki)
  Sipendi mwanamme anopenda maisha ya kucopy na kupaste eti coz rafiki yake yuko hivi na ss(mm na yy tuwe hivyo)
  Sipendi mwanamme MMBEA
  sipendi mwanamme mwenye dharau hasa kwa wanawake
  Sipendi mwanamme asomsaidia mkewe hata kuangalia homework za watoto
  Sipendi mwanamme aniombe TIGO agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr(huyu shetani simtaki kabisaaaaaaaaaaaaaa)

  NTARUDI BADAE NA SIPENDI!
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Nakereka naposikia mwanamme akijisifu:

  Mimi hivi, mimi vile, mie nilifanya hiki, mie ntafanya kile, mie nimeagiza Prado jipya, mie naenda huku, mie..., mie..., mie...

  Mwanamme namna hiyo huwa ananchafuwa roho.
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hakya nani vile.....kidogo niingiwe chini ya mvungu wa meza....eti utarudi tena na sipendi?? haya karibu, ngoja tukungoje, tumekupata vema
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nitakuomba VODACOM (Kazi ni kwako), ukikataa nitakuomba AIRTEL (Feel Free) nayo ukikataa nakuomba ZANTEL (Twanga KoteKote)
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa FF unamaanisha unapenda mwanaume mwenye kitu tunaita "inferiority complex?" au ninakupata vibaya hapa

  Maana najua kujikubali ni sehemu ya muhimu kwa mwanaume (niseme kwa mwanadamu) hasa kama alichofanya na kinachomfanya kujisifia ni sahihi...sijui kama sijakupata vema mwaya Foxy.....
   
 7. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hahahaaa, Mkuu Finest umenifanya nicheke sana hapa.....We haya we, ngoja waje hapa....

  Yaani.... "Kazi ni Kwako"......."Feel Free"........"Twanga Kotekote"....mmmh, hawa nao wanaochagua hizi motto duh.....
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Naomba soma kitabu kiitwacho "how to win friends and influential peoples" cha Dale Carnegie. Utanielewa. Pole kwa usumbufu.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu hizi motto sijui nani huwa anawapa hawa jamaa
   
 10. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  eeeeh japo napenda pia zipo nyingi
  we shika adabu yako tena mkono wa kuume,na Sipendi uniombe hivyo vitu
   
 11. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio usumbufu dada....ntakipata wapi? Kama unaweza kutudadavulia hapa ni nzuri zaidi maana access ya haya mabuku sometimes inakuwa taabu ati.....hebu weka hapa ili wote tunufaike maana kuna mtu mmoja aliwahi kusema kama usipojikubali kwanza mwenyewe huwezi kukubalika na wengine....sasa hapa ni mgongano wa mawazo unaohitaji uchambuzi na unaweza ukatuanzia kwa kile ulichokipata kwenye hilo book
   
 12. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  ....................................Unaomba pumzi maiti......................
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sasa nikuombe vitu gani vingine??
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!! Huyu bado anapumua
   
 15. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  omba uwe mdogo wangu wa frm another maza
   
 16. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mazungumzo nisiyopenda kuskia kutoka kwa mwanaume ni,,,kujifisifia kulikopitiliza! its real boring.....

  Will be back for another list...:israel:
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kuna maneno mengi sana as well as many themes... Na hii naizungumzia kwa wanaume woote wanao husika. Sipendi naneno au themes zinazohusiana na wanawake zikiwa na lengo za kukejeli, dhihaki, dharau uwezo na uwelewa wa mwanamke... Wanaume wakae wakijua nchi yetu hii ni nchi ya mfumo dume toka ilianza mpaka ilipo. Ni juzi tu wanawake wameanza kujitambua na kujihusisha katika mambo ya jamii - na ni wachache saana wameweza fanikiwa hilo. Hivyo basi anatokea mwanaume mwenye uelewa na asiye na uelewa na kunza kumdharau mwanamke kwa matendo na maneno wakisahau kua hizo confidence na positions ni mama zao waliwezesha; na pia kusahau kua dada zao bado wanasafari ndefu mpaka woote wapate uelewa na kujitambua....

  Hii statement ya akili ya wanawake bwana!.... Hata niwe wapi, hata uwe na wadhifa gan, hata kama siruhusiwi kukohoa - I dont leave that room mpaka nikupashe na ni defend uwepo wetu wamama...
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaa!!! Wapi impossible ni kama vile umpe ustaadhi biriyani ya kitimoto
   
 19. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mkuu kwa post hii naenda badili signature yangu sasa hivi........
  ........................TWANGA KOTEKOTE..............................
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Siwezi kuacha kujisifia ila nitapunguza:israel::israel::israel:lol hapo najua utanipenda
   
Loading...