Mimi naspend gizani na hakuna anayeniona lakini bado sina faranga. Inafikirisha sana!
Psychology of money cha morgan
Usilie mkuu. Lakini soon watakuja wangese watakwambia "Anzia ulipo", wanajifanya wanatoa ushauri wa kiuchumi akati yeye mwenyewe unakuta choka Mbaya na INIFINIKISI yake.Mimi naspend gizani na hakuna anayeniona lakini bado sina faranga. Inafikirisha sana!
Hahaha 😂. Motivesheno spikaz wana mengi sana mkuu. Mi nimeshawazoea hivyo hivyo.Usilie mkuu. Lakini soon watakuja wangese watakwambia "Anzia ulipo", wanajifanya wanatoa ushauri wa kiuchumi akati yeye mwenyewe unakuta choka Mbaya na INIFINIKISI yake.