What makes you happy?

What makes you happy?

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
NDIO, Nini hasa kinakupa furaha Maishani Mwako? Pesa na Mali ulizonazo? Marafiki? Madaraka? Kazi yako? Familia yako? Afya nzuri na uzima? Starehe?Umaarufu? Sifa?nini? au Furaha ni nini? wooote sisi tunaweza kuwa na furaha?

Na, kwa kadri unavyokumbuka ni wakati gani katika maisha yako unadhani ulikuwa na furaha kuliko nyakati zote? ni nini kilikufanya mwenye furaha kipindi hicho?
 
kuwa na mpenzi mwema kwako na kazi inayokufanya usifikiri kesho utakula nini pamoja na kutojijengea uadui na watu ni baadhi tu ya vitu vinavyokufanya kuwa na furaha, lakini furaha ya kweli ni baraka kutoka kwa Mungu aliye mwema
 
Amani ndani ya moyo inanifanya nijisikie mwenye furaha .. familia yangu ikiwa na furaha, wala sio kingine.
 
Swali rahisi sana, kinachonipa furaha maishani ni PESA coz nikiwa na pesa naweza ku enjoy nitakavyo, naweza kupata tiba haraka pindi niumwapo, nikiwa na pesa naweza kuihudumia vizuri familia yangu na kuifanya wawe na afya bora, nikiwa napesa kupata madaraka ni rahisi................ Yaani pesa ndio kila kitu kwangu huku nikimtanguliza Mungu.
 
Lovely lady doctor.so how much money makes you happy?
 
kuwa na mpenzi mwema kwako na kazi inayokufanya usifikiri kesho utakula nini pamoja na kutojijengea uadui na watu ni baadhi tu ya vitu vinavyokufanya kuwa na furaha, lakini furaha ya kweli ni baraka kutoka kwa Mungu aliye mwema

Kwa wale ambao hawajafikia umri wa kuoa wala kufanya kazi inakuaje? Furaha sio haki yao?
 
Maswali mengine hayajibiki kirahisi,
kila jibu linazaa swali lingine.
 
Amani ndani ya moyo? Inaingiaje?

To love and be loved in return by family members+friends, to live well with my neighbors without quarrels, to believe that God is my savior and that through him i can conquer every obstacle, makes me have PEACE in my heart.
 
Kama sehemu ya mazungumzo tu,ni wewe ndio umeanzisha uzi juzi unamzungumzia mrembo maua-bar maid? Umeimalizia hiyo story?

I will comment to your point later.
 
Umechanichanga na mtu mwingine mkuu! Sikuanzisha mada yoyote ndugu!
 
Back
Top Bottom