What makes you happy?

What makes you happy?

Football ⚽️.

Short drive nje ya mji +music + trusted friends hasa weekend, tukila na kunywa na kupanga mipango ya kusaka hela.

Nikiwaga home, majira ya kiangazi, huwa napenda kwenda jioni kuwinda bata maji/ducks kwa bunduki. Najificha kusubiri makundi ya bata yaje kwenye mabwawa, yakitaka kutua nayafyatulia risasi za vuguvugu. Huwa nafurahia sana shughuli hiyo, niliyofundishwa na mshua wangu, huwa napata kitoweo safi, huku nikiburudika sana moyoni, ni vile tuu sipo home. 😎

We wakishua eeh, Unajua hata kuwinda kwa bunduki ?

Au wewe ndo abduli mapesa mwenyewe?
 
We wakishua eeh, Unajua hata kuwinda kwa bunduki ?

Au wewe ndo abduli mapesa mwenyewe?

Sio ushua, ni vile umezaliwa kuna mazingira yanakujenga kutoka kwa mzazi/mzazi wako, mimi mzee wangu ni mpenzi sana wa mikwaju/manati ya mzungu. Sio kwamba ni wa kishua, ila ni hobbie yake tuu tumekua tunamuona hivyo.
Ni wale madingi wabishi, akiwa na mikwaju ndani ndio anaona yupo safe. Hawezi kusafiri bila mkwaju, haendi shamba bila mkwaju.

Kuhusu kutumia bunduki sijui mkuu. Nakutania tuu. 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom