What makes you happy?

What makes you happy?

Miaka ya 90 mvua ilikua ikinyesha ikikata anga linabaki la kupendeza sana , sauti za ndege na makundi mbali mbali ya vipepo yalikua yanaruka na kupendezesha mandhari ya uso dunia kwa mfano wa kipekee sana, sijui siku hizi ile hali kwa nini imetoweka🤔
Kuna ile harufu ya ardhi pale mvua inapoanza kunyesha,amazing sana.
 
Kabisa miaka ya nyuma kuna namna dunia ilikua na muonekano wa HD zaidi kuliko sasa, dunia ilikua inamwonekano wa kuvutia na harufu za kupendeza sana
Dunia bado ina muonekano huo, na miguso hiyo kaka kama siku ya leo ,nilipo kuna matindinga/swamps .. na maji baridi yanatiririka hadi kwenye makazi ,asubuhi na mapema Push ups 200 ,squats hundred, sit ups 100 , kisha nikavua viatu kuelekea huko kwenye swamps , that mother earth embrace was soothing and relaxing, na simu nimeacha home , the whole way up there Watu wananishangaa. Birds chirping, Wanyama wadogo wadogo wananishangaa wengine wakishtuka.. like hatujawahi something like this .. kama vile wametembelea na mgeni . Flowers , trees , shrubs and bushes man man ...au uende Mbeya huko , Usafwani .. utengule,Milimani ..man man
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom