What makes you happy?

What makes you happy?

Kabisa miaka ya nyuma kuna namna dunia ilikua na muonekano wa HD zaidi kuliko sasa, dunia ilikua inamwonekano wa kuvutia na harufu za kupendeza sana
sijui kuhusu enzi hizo, ila hata enzi hizi bado hizo environment zipo, ni vile tu inadepend na wapi mtu ulipo (au wapi umeenda kutalii, likizo, kuishi, n.k)

Sabb sehemu kubwa ya dunia bado ni natural. Highly urbanized areas bado sio nyingi hivyo, especially Africa. (ukipiga routes za mkoa kwenda mkoa, utaliona hilo, natural environment ipo kubwa)
 
Screenshot_20260418_192419_Chrome.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom