Dunia bado ina muonekano huo, na miguso hiyo kaka kama siku ya leo ,nilipo kuna matindinga/swamps .. na maji baridi yanatiririka hadi kwenye makazi ,asubuhi na mapema Push ups 200 ,squats hundred, sit ups 100 , kisha nikavua viatu kuelekea huko kwenye swamps , that mother earth embrace was soothing and relaxing, na simu nimeacha home , the whole way up there Watu wananishangaa. Birds chirping, Wanyama wadogo wadogo wananishangaa wengine wakishtuka.. like hatujawahi something like this .. kama vile wametembelea na mgeni . Flowers , trees , shrubs and bushes man man ...au uende Mbeya huko , Usafwani .. utengule,Milimani ..man man