What kind of relationship is this🥹

What kind of relationship is this🥹

itakua mleta mada kashazoea kubembelezwa hata kwenye vitu visivyo hitaji kubembelezwa
Hapo ukute anafananisha uhusiano wake wa awali na wa sasa,huenda huko alikotoka alikuwa kama princess now kakutana na mwamba hana mambo mengi sasa inakuwa shida

Na hili tatizo la watu wengi,aisee ukianza ukurasa mpya basi jipange na mambo mapya,ukiishi sasa kwa mahusiano ya zamani hutakaa kwenye mahusiano kamwe, take it or leave it
 
anataka kudeka na inatakiwa kudekezwa ila jamaa anaonekana kama hajali hivii.. Ujue na sie wanaume tukisha kula kula tunakuwa watu wa ajabu ajabu sanaa unakuta jamaa amekinai ndio anaanza leta hizo pigo
Anhaaa ukisoma hizo msg bila kujua kinachoendelea unaona ni convo ya kawaida, ni kweli ukiweka hizo circumstances ina make sense.

Lakini kwanini mko hivo 😅??
 
Hisia sio sawa na upendo. Mwanaume akimfata mwanamke kwa hisia za ngono hayo ndio matokeo.. muhimu sana kumpima mwanaume kama anakupenda kitu ambacho watoto wengi wa siku hizi hata watu wazima hawawezi kuwapitisha wanaume kwenye test kama kuna upendo au hisia + nyege 🫪

Maana siku hizo mambo yanapigwa juu kwa juu matokeo ndio kama hayoo, katoto kawafuta kamefunguka moyo mazima ila jamaa kaisha chovyaaa hisia zimekataaa
 
Asalaleee! Watoto wetu GenZ na GenAlpha tutawaficha wapi yarabi.

You people ni waharibifu.
49099731-65bf-48a5-8242-4bf47edb6f13.jpeg
 
Asalaleee! Watoto wetu GenZ na GenAlpha tutawaficha wapi yarabi.

You people ni waharibifu. View attachment 3622725
Nyie watu wazima muwafundishe ku test hisia na upendo, ili kuwaepusha na michomo na kuwa watumwa wa hisia na maumivu..

Ukweli mie sio muharibifuu 🫪🫪
Mie na deal na walio haribikiwa tu naogopa sana kumliza mtu au kumuumiza mtu
 
Unamjua yule member ambaye huwa ana comment hayanaga muongozo 😔

Nafikiri heartbreak ni part ya mahusiano.
 
Mzani wa mahusiano haujawahi kubalance hata siku moja lazima tu mmoja aonekane yuko chini na anayahitaji mahusiano hayo kwa hali na mali

Ni kweli huwa haubalance lakini kuna ule wakati unaona mmoja ndiye aliyeshikilia mahusiano yasivunjike huku upande mwingine akiishi lolote litokee

Ukiangalia screenshot ya kiss ov love utaona upande unaojaribu kufanya mahusiano yaende
 
Yote kwa yote fanya juu chini uwepo upande wa nakupenda pia
 
Back
Top Bottom