what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
Last edited by a moderator:
second name in my id...hope ppo wont connect em dots...
 
Naitwa Titiy.

This is a last/second modified version.

Wakati niko Mdogo, sijaanza kuongea vizuri, kila kitu nilikua nakiita titii, kula titii, mtu titii, n.k.

Basi Brother wangu ambae nae hatujaachana sana alikua akiona watu wako na mimi, ananinyooshea kidole huku akitaja titii.
 
Enzi nasoma walikuwa wananiita "Eliumbo".
Nilipewa hilo jina baada ya kupenda mada ya Elimu ya Maumbo katika somo la Hisabati.

Now ofisini wananiita Madame Kijungu.
Sijui kwa nini!!!!
MMAHE.....habari yako, snowhite....habari yako binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…