What is wrong with me?

Niliwahi sikia eti mtu akiwa na HIV anakuwa na hasira zisizokuwa na sababu......
 
Ni PM nikupe ushauri
 
umeekaaa mda mrefu bila kusex hilo ndio tatizo lako
 
Pole mdogo wangu. Hizo hali wenzio tushazipitia.
Hapo una STRESS.
Usiiruhusu hali ya stress kukutawala sana, jitahidi kubadilisha mazingira, go for vacations, have pleasure Fanya vile vitu ambavyo huwa unavifurahia, jichanganye na watu hudhuria ibadani, usiruhusu kukaa mwenyewe, sikiliza na cheza music unaopenda etc
Ukiendelea kuruhusu hali hiyo utapata magonjwa ya tabia ambayo ni mabaya kama BP, presha, kisukari etc
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…