Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
- Thread starter
-
- #221
Vepee MshanaIt's wrong with you
Hahahahah acha kabisaHahaha fisi maji katika ubora wako.
Nafikiri uko kwenye tarehe zako,halafu haikatiki inaendeklea kutoka tu,nenda kwa daktari mamii.Hi JF.....idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....
Naona kila mtu ni fake...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...
Sijui nifanye nini...
Nafikiri uko kwenye tarehe zako,halafu haikatiki inaendeklea kutoka tu,nenda kwa daktari mamii.
Kuwa positive, utapona tu... nitafuteNisipopona je
Basi uni PM nikupe tiba .siko kune tarehe wala mwaka....
Mmmm huku sasa ni kama kubet...mana naweza nisivunje mkekaKuwa positive, utapona tu... nitafute
Ndo kunini huko kupmBasi uni PM nikupe tiba .
Pm ni kuzuri kuliko kule jukwaa la wakubwa kwani jukwaa la wakubwa limejaa wasumbufu kama akina Delmonte jr!Haha sipajui...ila sio huko...
Yaani uje kule chobis nikuchekeshe mpaka ufurahie maisha,halafu tutapanga namna ya kukuingizia dawa.Ndo kunini huko kupm
Sasa utajuaje kama hutapona kabla ya kutibiwa? ... input--->process---> output sasa wewe vip tena unataka kukimbilia kwenye output kabla ya kutoa nafasi kwa input na process?Mmmm huku sasa ni kama kubet...mana naweza nisivunje mkeke...af pesa yangu iwe imeteketea...
Imekuwaje tena ukanichomesha mahindi?you said all, and tel them also how to pick those right one.
We all wanna learn hear.
You are right....thanks...ntafanya kama ww...Same happened to me last days... Had nilimshirikisha jamaa angu akaniambia niombe Mungu. Most often, come or is accompanying Broke up
Sasa utajuaje kama hutapona kabla ya kutibiwa? ... input--->process---> output sasa wewe vip tena unataka kukimbilia kwenye output kabla ya kutoa nafasi kwa input na process?
Asante...Pole...it happens sometime,solution ni kusali na kulala ukiamka utakuwa sawa
Kuwa na imanimmm siamin amin
Haya....Kuwa na imani