Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,548
- 44,314
Bila shaka moo jei ni nduguyo cocasticila watu, khaaaah
Bila shaka moo jei ni nduguyo cocasticila watu, khaaaah
mwanaume unaenda kwenye ugomvi na kichwa cha kuku huku umeshikilia simu unabweka tuuuu mbele huendi unarudi nyuma nje ya ukuta
![]()

khaaahPunguza makasiriko jombaa
Agiza popcorn angalia show.
Giggy money kazaa na sampuli inayofanana naye.
Lakini Mo Jay atakuwa anahudumia laana fulani tusiyoijua

Mo jay ndy nani?ni msanii auwee ni mchokoziii sanaa. Huyo kazidi hadi mkorogo wa mafungu, namuweza wapiii lol
Kwahiyo yeye anazalisha hatunzi watoto,anatunza ndevuDrama parents hao![]()
Kwahiyo Mo J kamfata Gigy kwake ni anataka kumpora mtoto? Huyo Mo ni mwehu. Kuna ICU ya week flan ktk mwezi uliopita nadhani inasemekana Mo kampiga mtoto mdogo wa mwaka na points hivi kama sijasahau. Gigy kma kawaida akaingia kwenye familia yake Insta Live akanza kuongea kuhusu ile issue kisa ye kazaa nae.
Huyo chalii ana mashtaka police,, bado hakomi anaenda kusaka mapya![]()
Mo jay kazaa na giggy, ni presenter hapo Clouds, malavidavi, ni slay boy wa town tyuuh.Mo jay ndy nani?ni msanii au
Aise katuangusha sana wanaume
UtAmpelekaje mwanamke polisi
Ova

Kuna Me wanauwezo wakuzalisha,kukojoza ila bado si WANAUME. Japo Gigy ni Chizi ila hakutakiwa kumfanyia hivi mzazi mwenzake,tena mbele ya mtoto wake.Hajui alicho kifanya ni sawa ya kuupiga muhuri wa moto wa chuki kwa huyo mtoto alieye mzaa,ambao hauto futika. Halafu kesho atasema amelishwa sumu na mama yake, wakati kafanya ukatili mbele ya mtoto wake tena unao muhusu mama yake mzazi.
Najua ni nguvu ushawishi ya mkewe wa sasa na si yy wenyewe, kwani ameshindwa kusimama kwenye nafasi yake kama mwanaume. Yaani jamaa ni bonge moja la fala, hajui kwamba huwezi kushindana na mwanamke kuongea na ugomvi wa wanawake hutakiwi kuingilia, sasa ona mwanae mwenyewe wa kumzaa anamwona katili.
Watu mna manenoKwahiyo yeye anazalisha hatunzi watoto,anatunza ndevu
khaaah

eti alienda kugombana nae anachukua video na yeye anamchukua video 

na hakuweza kumkaribia opponent na hata video yenyewe ya ugomvi imetoka kwenye simu ya opponent

bora hata yule mwanamke na mtoto mchanga kamkaribia opponent kwa ukaribu wa 0_distance!eti alienda kugombana nae anachukua video na yeye anamchukua video
na hakuweza kumkaribia opponent na hata video yenyewe ya ugomvi imetoka kwenye simu ya opponent
bora hata yule mwanamke na mtoto mchanga kamkaribia opponent kwa ukaribu wa 0_distance!
View attachment 2564760

ila wee jamanPale hamna mtu! Alafu mzuri kuliko huyo gigi maneila wee jaman
hata huyo mwanamke mwingine nae kapitwa uzuri na huyo jamaa