What is LOVE? I am 40 years old na sijui Love ni nini?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Haya haya sasa,

Wale mabachela sugu wamerudi tena

Wanawashangaa mnamlalamikia mapenzi

Niko na Mwamba hapa oysterbay, senior batchelor ananiuliza

Money Penny what is love?!

"Love ndio nini?

SIJAWAHI kuwa kwenye mahusiano Kwa Miaka 10 sasa na sina stress and I feel line" au nimelogwa?!

Haya wale wanaojua mapenzi mkuje mumsaidie kakaenu WA kwanza



NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2.https://www.jamiiforums.com/threads/nimekupa-kila-kitu-na-bado-umeniacha-malalamiko-ya-madada-wengi.2131338/
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
 
Unauliza Upendo ni nini au Mapenzi ni nini?

Maana hivyo ni vitu viwili tofauti japo wengi wanajua ni kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom