MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
MJ1 kuna posti yako hapo juu umejitahidi kuelezea sababu za kucheat but hakuna hata moja ambayo ni halali,pili mahusiano halali ni yale mliyokubaliana nyie hata kama hamjaenda kwenye nyumba za ibada!
Hii ni sababu nyepesi sana,huwezi kuwa mwizi coz umeibiwa sana!
Kwanza napenda kusema kuwa,wakati najihusisha na masuala ya mahusiano sijawahi kucheat,so sikuwahi kujua sababu ya kufanya hivyo,kiumri nina miaka 3....So that nimeona mengi mpaka mimeamua kuuliza hapa jamvini leo,nimeshashuhudia na watu wakilalamika wengine mpaka wamejiua wengine wapo gerezani wengine maisha yakipata dhroruba(mimi pia nipo kwenye kundi hili thats why sitaki ndoa wala mahusiano ya kimapenzi)wengine wana vilema n.k kwa sababu ya cheating!Hivi wakati unafanya hayo unakuwa unawaza nini?Je ni kisasi,au ni kutokuridhishwa kimapenzi,fedha au ni nini?Nauliza coz malalamiko ya jambo hili na athari zake ni kubwa katika jamii yetu,hebu mnaocheat au mliofanya jambo hili mtuambie sababu japokua mpaka leo sijaona sababu ya msingi ya kufanya jambo hilo,pia mtakua mmewasaidia wale walioko kwenye uhusiano au wanaotaka kuanzisha mahusiano!Maana kama unataka kuondoa tatizo tafuta chanzo cha tatizo!
Good idea Yasmin but is not that simple!
Bashaija,inaonekana hawa jamaa ni kibokoee!
Eiyer
Kuna wengine (wanawake) wanafanya kwa revenge maana wanasema there is no better way to get back at a husband who has cheated than to cheat. Na pia wanasema hell hath no fury like a woman scorned. Kuwa kama mume anataka kujua au kuweka that evil part ya mkewe (huku kwetu tunasema kila mtu anacho kichaa chake, sasa ukitaka kukureveal kichaa cha mwenzi wako mke let her doubt your fidelity.
Kuna sehemu nilisoma mfano wa mwanamke aliyekuwa so devoted, alitumia muda mwingi sana kuimarisha familia yake, kiuchumi na kijamii na aliiweka ndoa yake ikawa ya kwanza........siku alipomkuta mumewe na mwanamke mwingine, kwa hacra naye akalipiza kisasi kwa kujikoki kubadilisha kabisa life style yake...yaani alistop kabisa kuvaa zile Grandma's pants na kuhamia kwa Victoria's Secret; them Cassandras, akaingia kwenye urembo 100% na kisha kutafuta mwanaume wa pembeni wa kumwonyesha hizo lingeries!
KWa hiyo kina baba mnapokuwa mnacheat wake zenu, jueni kwamba, anawezaamua kukupa za tit for tat. na kama wanavyosema hakuna suprise ngumu kumeza kama kugundua kuwa your devoted wife has decided that what is good for the goose, is good for the gander.
....lol,...haya sasa....!
mwj1 miaka saba iliyopita nilikuwa kwenye relationship na mwanamke anayejiskia hivyo...
kila jitihada niliyofanya kumhakikishia yeye ndio yeye, hata kufikia hatua ya mimi kugombana na
kutengana na familia yangu kumthaminisha yeye, bado tu hakujiamini...na akaendelea ku cheat zaidi
ya mara saba nizijuazo mimi mbu!...
mwj1....i did everything bana, everything unayoweza fikiria,
hapana bana...ni ujinga wake tu uliotukuka....lakini, amenisaidia sana kuujua ukweli kwamba
mwanamke asiyejiamini hafai asilani kuwa mke na wala simshauri yeyote kumuoa mwanamke wa aina hiyo!
....lol, (ashakum si matusi)...ile midomo si ilitokana na swali bana? kuna mtu alisema ati tofauti ni nini kati ya nanihii ya mkewe na hiyo ya nje...sasa nami kumjibu kidiplomasia, nikamuonyesha hata midomo (hii ya kulia chakula) haifanani, sembuse nanihii ya mkewe na ya kimada?
wote hao wana Phd ya purukushani za malavidavi,ukitaka kujua uweledi wao kasome uzi wa RussianRoultte ulioleta sekeseke la kaboka mchizi humu mmu kidogo watu walazwe icu kwa presha , nadhani uzi huo unakimbilia kwenye kurasa hamsini na unaendelea.