hahahahaha DC!....OK mwambie jibu lake kuwa i am very engaged!>...na mmasai wangu
Naamini ameona.
Ila kwa madume wengi (tena wabongo) wanaamini engagement zinavunjwa tu kutegemea na scud za mtu!! Yetu macho, ngoja tusubiri. Ila akija kwa PM ukumbuke angalau kutumegea kidogo. Si unaona mwenyewe jinsi tunavyotoa ushauri, labda siku moja twaweza itwa kuwa mashuhuda wa deal zenyewe!🙄
Hapa ndo unataka kupanda UDA au daladala la kwenda wapi?
I can't believe some people in this century are still living in a fallacy. Huwezi kuwa mkristu na muislamu kwa wakati mmoja. Mojawapo ya tofauti kubwa ya Ukristu na Uislamu ni suala zima la Christology, sasa kama mtu hajui hili somo, ni kazi bure kutumalizia server zetu. Mwe!
hahahah kwa hilo DC ameula maana hapa nipo very imara sitetereki aisee....Miye kwa mmasai ndiyo nimeshafika miwho wa reli kigoma na mizogo nikatua kabisa nikasema mbele siendelei....ila usikonde mwanawane akituma PM miye lazima nitaku-fowadia tuu!....
Yaani wewe acha tu. Kama mtu hujijui mwenyewe unasimama wapi usianze kuwauliza wenzio uko wapi. Vitu vingine ni simple common sense tu.
Acha kushabikia kivuli...utadhani umeshatoa donation vile kwa jinsi unavyopiga tarumbeta wakati mtu unaonekana umeingia kijiweni juzi tuu!...wee acha legendary tuweke vitu vyetu utake usitake...na kama namna gani vipi kwani ulilazimishw akuingia na kusoma na kutoa comment...jeeez some people bwana....
Nosweti, kama nina mpango na wewe nitakusubiri fainali tu. Wakati huo una watoto watano wa kulea na mmasai anashinda kilabuni. Tena utakuwa unanionga.
Inshallah mzuvendi...wanasema subira yavuta heri!,,,,
I can't believe some people in this century are still living in a fallacy. Huwezi kuwa mkristu na muislamu kwa wakati mmoja. Mojawapo ya tofauti kubwa ya Ukristu na Uislamu ni suala zima la Christology, sasa kama mtu hajui hili somo, ni kazi bure kutumalizia server zetu. Mwe!
Taratibu yakhe kidole na macho ati!.....mbona owner hajalalamika uje uwe weye!...mwanaume yeyote anayependa sana kulalamika ni shoga......
wanawake wanaojiheshimu ambao wako ladylike hawatumii lugha kama zako. mwanamke gani wewe
then kama unaona siyo lady like what do you care...mind your own business and i mind mine sijakutuma uje unieleze what to do...na hao wanawake wa dizain unazotaka ww ni zile ambazo ukisema kitu wao ni yes sir....boy you got it wrong.....i ain't like that....i am a wrong person to mess with....i act like a lady but think like a man... you got it....
Sasa hapo ndio umeongea nini? Yaani pumba tupu. Nenda www.eharmony.com kama unatafuta bwana.
Wewe ndiyo uliye na matatizo na mimi...na sijakwambia natafuta naona unanitafutia mabaya sasa....
Mods this dude man....ananitafutia ubaya you better tell him before it too late....sipo hapa kudeal na upumbavu wake naona kanianza taratibu sasa anafika mbali sana...kama ww shida yako kutongoza wanawake annoymous online siyo kila mtu....
Taratibu yakhe kidole na macho ati!.....mbona owner hajalalamika uje uwe weye!...mwanaume yeyote anayependa sana kulalamika ni shoga......