what is the probability?


vitu ni vidogo sana lakini unaonekana kutaka ku-complicate...yes chances ni zipi mimi kuwa mkiristo since i have been mkiristo (baptized,kipaimara and kula chakula cha bwana)...na mimi kwenda msikitini na kuslim na kitawazwa kuwa muislam....

swali lipo straight forward ila ww you seems kutaka ku-complicate things and make it more harder.......

and lastly...kama huwezi kutumia lugha nzuri na kujadili kwa lugha fasaha....then don't call me "we ndugu"..because it is not appropriate and i don't like it since i never desrespected you or mean any harm to you or anybody!......i hope i got myself clear ont his......kama huwezi call me by my name Kelly01/K01....Then just let it be!....please!....
 

Lakini Blueray, na wewe ulishaanza kujadili probability za kuwa Muislam na Mkristo! Hahahaaaaaaa!
 
Lakini Blueray, na wewe ulishaanza kujadili probability za kuwa Muislam na Mkristo! Hahahaaaaaaa!

Kwani mimi nimejadili machache, nimejadili mpaka wave particle duality humu.Nimekung'uta somo kutoka pande zote, waamini, wasioamini, wanaotaka kutoa benefit of doubt that the intangibles can be probable in a tangible way, wasiotaka kukubali hilo,mpaka sasa tunaanzisha swala la anti-probability.

I am seeing this in 3D, not only in a linear way. Your above approach is very classical and linear.I entertain paradigm shifts and radical revolutions.

Who knows, she may be opening up some quantum quests for a multi-channeling constantly spliting multiverse. A totally welcome idea, especially since that is in line to explain away a lot of the classical probabilistic conundrums.
 

BruRay:

Kuhusu bwana hawataki walio vuguvugu, inawezekana ichambuliwe kwa context na misemo ya wakati ule. Kwa maana ukisema bwana hawataki walio na vuguvugu ina maana atawataka walio hot au walio cold kama unavyosema. Na ukishaweka hot, cold na vuguvugu basi tuna trinary hapa.

Na ukichukua historical perspective ya Judea katika kipindi cha Jesus, ni kweli kulikuwa na trinary. Kuna kundi lilikuwa linalomfuata bwana (let say hot) na hawa walikuwa ni wayahudi, kulikuwa kuna kundi linalofuata upagani wa Roman-greek, na kuna wayahudi waliotaka kufuata dini yao huku waki-dilute na upagani wa Roman-Greek (vuguvugu).

Hivyo kuwa vuguvugu, ni kuchanganya upagani na dini inayoamini Mungu mmoja. Lakini kutokana na wachangiaji wengi hapa uislamu au Ukristo sio upagani. Hivyo kuchanganya dini hizo sio kuwa vuguvugu kwa sababu vuguvugu inapatikana pale dini inapochangwa na upagani.



Wakristo na Waislamu walikuta concept ya Mungu tayari hipo na watu wanafuata. Historically jitihada za mwanzo za waIslamu hazikuwa kuwasilimisha wakristo au wayahudi. Na jitihada za mwanzo za waKristo wa mwanzo zilikuwa sio kuanzisha dini nyingine zaidi ya uyahudi. Hivyo concept nzima za dini moja ku-monopolize Mungu au Truth ni MAN-MADE kwa sababu dini hizi zilianza kwenye jamii ambazo tayari kwa karne nyingi concept ya Mungu ilikuwa inajulikana. Na kama concept hii sio MAN-MADE basi ndani ya dini hizi kusingekuwepo na mgawanyiko wa sects ambazo ni dini kamili kabisa. Sunni na Shia wana monopoly na vile wanavyoabudu lakini ni MAN-MADE. Catholics na Anglicas wana monopoly lakini ni MAN-MADE.
 
wakristo wana mungu baba mwana na roho mtakatifu, waislam hawana.

Wakristo wanaamini yesu ni mwana wa mungu na kila goti litapigwa kwake, waislam hawaamini.

The differences are galore, how will one reconcile these? Kwangu mimi huwezi kuamini both, utakuwa unajidanganya, unaweza kuwa either or.Ukijaribu kuwa both utakuwa neither.
 

There is harmony btwn the principla teaching of the bibile and the qur'an...and they both profess to worship the same god.....The thing is kila mtu ana criticize dini ya mwenzake lakini come to think about this right none of the religion took time to read each others book....Most muslim teachers never read the Bibile and same as christian teachers hawajasoma Qur'an.....so hakuna sababu ya kuanza ku criticize each others traditional wakati we both worship same god...though christian wana belive christ alikufa na akafufuka..and muslim believe kuwa mtume muhammad pia alikufa....and this resulted to mutual distruct,Percution and even war.....
 

Kwa organized religion huwezi ku-reconcile sects ndani ya dini moja. Lakini spiritually unaweza tena ize lakini usitumie probability.
 

Kelly01:

Ningependa kuuliza swali moja. Hypothetically, kama waIslamu wote wakihamua kuwa waKristo, je imani ya kidini itakuwa moja? au katika kundi hili jipya hakutatokea mgawanyika ambao utaleta distruction, persecution and even war?


Hypothetically, kama wakristo wote wakihamua kuwa waislamu, je imani ya kidini itakuwa moja? au katika kundi hili jipya hakutatokea mgawanyika ambao utaleta distruction, persecution and even war?

Kabla ya kuja hizi dini tulikuwa tunapigana tena BIG TIME. Kwa maoni yangu kufikiri dini kama chanzo cha amani wakati mwingine ni sawa na kuwalipa wafanyakazi wa TRA mishahara mikubwa kwa kutegemea kuwa wizi utapungua.
 
....je mimi ni mkiristo au mimi ni muislam?......maana kanisani nakwenda msikitini nakwenda......xoxo

Kelly01,

Haupo peke yako. Story ya Mama huyu (Rev. Ann Holmes Redding) inavutia kuisoma:


Unaweza kuisoma zaidi hapa:http://seattletimes.nwsource.com/html/localnews/2003751274_redding17m.html
 

Kelly unamaanisha nini? Mimi sjakuelewa probability in what sense? In fact sioni km kuna ktu kinachofanana au kinahusiana na probability ktk scenerio uliyoieleza! probability hasa in what sense?
Ni kasichana kazuri sana lakni most ya threads zako huwa sizielewi, pengne wewe ni genius, maana always geniuses huwa ni vigumu sana kuwaelewa!
 

Umejuaje? Au macho yako yana-penetrate PC monitor?
 
wewe si moto wala si baridi.
Check hii mambo, vya vuguvugu vinatapikwa...!
 


too bad wenzio wameelewa alafu wewe huajaelewa...na tatizo ambalo huwezi kunielewa ni kwamba we don't drink same coffee....

kaka swali langu ni chances za mimi kuwa either mkiristo au muislam!.....mbona swali lipo so straight foward?...
 
hahahah!...mwanawane umenimaliza...that's what's up DC!...hata miye nimesoma alafu nikawa puzzled kidogo.

For curiosity,

Hebu mpe jibu halafu tuone missiles zake atazielekeza wapi? Kibindoni au kwenye uwanja wa mapambano? Nilitamani kukimbia lakini mwee, nashindwa kuacha uhondo jikoni!
 
For curiosity,

Hebu mpe jibu halafu tuone missiles zake atazielekeza wapi? Kibindoni au kwenye uwanja wa mapambano? Nilitamani kukimbia lakini mwee, nashindwa kuacha uhondo jikoni!

hahahahaha DC!....OK mwambie jibu lake kuwa i am very engaged!>...na mmasai wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…