BluRay:
Lakini Jesus aliyasema hayo akiwa Jew na vilevile hakuwaambia Jews ambao walikuwa wanafanya vizuri kwenye dini yao kuwa wamepotea. Kwa mfano, alimwona mwanamke masikini aliyetoa sadaka kwa kutumia kipato chake chote na kumsifu. Hakuna sehemu yoyote inayoonyesha kuwa yule mwanamke alimfuata Jesus.
Unasemaje kuhusu verses za biblia zinazosema kwamba bwana hawataki walio vuguvugu? Na kwamba mungu wa biblia ni mungu mwenye wivu, kwa maana ya kwamba mungu anayetaka kuabudiwa yeye tu kwa njia alizosema katika biblia, kitabu cha wakristo? Sasa ukiingiza imani nyingine hapa huoni kwamba utakuwa umem violate huyu mungu mwenye wivu na principles za imani ya kikristo?
Mfano uliotoa hapa unatumiwa hili watu wafuate taasisi fulani ya kidini. Lakini mara nyingi Jesus alikuwa anaongea na hypocrite Jews ambao walikuwa wameacha taratibu za dini yao na kufuata mafundisho ya kipagani. Hivyo interpretation ya kile alichozungumza ni lazima iangalie wakati na audiences alikuwa anazungumza nao.
Hapa unaingia katika a deeper concept, ambayo naona ndiyo inamfaa zaidi Kelly.Concept ya spirituality versus religion.Na nimekuwa nikimpongeza hapo juu mara nyingi kwa kutaka ku transcend religions na kuwa a spiritual person.Let's face it, wakati yesu anatembea hapa duniani hakukuwa na ukristo, ukristo umeanza kuchukua shape baada ya Yesu kufa, yesu alikuwa ni a rebel Jew aliyeanzisha sect ya Judaism iliyokuja kuwa Christianity.Kwa hiyo unaposema "Mfano uliotoa hapa unatumiwa hili watu wafuate taasisi fulani ya kidini" of course tunaongelea taasisi za kidini, si tunaongelea Uislam na kikristo? Hatuongelei spirituality per se, tunaongelea katika context ya organized religion kwa hiyo objection yako kama unaongelea organized religion siioni inatokea wapi, lau kama unaongelea spirituality ita make sense lakini itakuwa out of context ya muulizaji ambaye ameuliza specifically katika context ya organized religion.
Kwenye Koran kuna sehemu nyingi zinazokubalia kuwepo kwa dini zilizopewa kitabu cha kuamini Mungu Mmoja na kukubali wenye kufanya vizuri kwenye dini hizo. Hivyo kama Mkristo, Myahudi au Sabatian anayefanya vizuri anakubaliwa na Koran, kwanini basi awe pagan pale anaposali Msikitini? That doesn't make sense to me.
Kukubali mazuri ya dini nyingine hakuna maana ku give up monopoly ya mungu, ingekuwa hivyo kwa nini waislam wanasilimisha watu? Kwa nini kulikuwa na crusades? Kwa nini wanasema there is no god but allah and Muhammad is his messenger?
Lazima tukubali tofauti ya dini na spirituality. Anachotaka kufanya Kelly kinakubalika na actually ni kizuri sana katika dunia ya spirituality, lakini hakimo katika religions hizi mbili, simply because of their exclusive natures.
Kuhusu kuwa pagan nimeongea hapo juu kirefu, kwamba hili neno lina not only political incorrect connotations, but also intolerant, close minded medieval remnants of Judeo Christian monopoly.Na pia nikaeleza kwamba kama wapagani ni watu wasioamini katika hizi Judeo Christian monotheistic (although it can be disputed whether Christianity is monotheistic) religions, then kwa sababu Kelly atakuwa anaamini katika mbili ya hizi tatu- ukristo na uislam- bila kujali kwamba atakuwa neither among the two, katika spectrum ya upagani -kuanzia 0% mpaka 100% Kelly atawashinda watu wanaoamini dini moja kwa kuwa less of a pagan, in other words, if 100% pagan ni mtu asiyeamini dini zote hizi tatu, na 0% pagan ni mtu anayeamini dini zote hizi tatu, Kelly atakuwa na 33% paganism wakati mtu ambaye ni mkristo au muislam tu atakuwa na 66% paganism, if at all one can be allowed the license to quantify the intangible.