tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Umeona nini kaka
nilikuwa nahitaji smart phone, nimepata nokia e72
Umeona nini kaka
Tafuta Nokia Ashaa
Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp