What is the cheapest smartphone i cn get in bongo?

What is the cheapest smartphone i cn get in bongo?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp
 
tafuta bb 8520 sio zaidi ya 200 k,tafuta ideos kama za tigo nayo sio zaidi 200k,tafuta galaxy poket bei 185k,galaxy y 220,
 
smartphone rahisi ya watsapp hapo itabidi uopt android au symbian

Kwa android ni hiki kimeo chao cha laki 2 wanachokitangazia ni cha kawaida sana sema ndo hivo kina android tutafanyaje? Watsap ipo

Kwa symbian zimejaa nyingi sana tafuta n au e series model za zamani ambazo ni e series mfano wake e71, n73, n80, e63,........ Hizi nlizotaja zikiwa mpyaaa bei inarange 180,000 hadi 250,000.

Kwa kukusaidia zaidi.
Kama ni rahisi halafu touch-samsung galaxy

Kama qwerty keyboard-e71 au e63

Kama button za kawaida n73, n79

Slide n80.

Kama za promotion kuna ideos za tigo pia bei rahisi rahisi japo sipo sure sh ngap
 
JARIBU VODAFONE 858 SMART PHONE ni ANDROID FROYO(OS)
THAMANI YAKE NI TSH 200,000
 
tafuta bb 8520 sio zaidi ya 200 k,tafuta ideos kama za tigo nayo sio zaidi 200k,tafuta galaxy poket bei 185k,galaxy y 220,

hiyo ideos ni kimeo kwenye battery mimi ninayo U8150 kwa kweli sishauri mtu kuwa nayo alafu uwe na simu hiyo hiyo nahisi utatumia masaa matatu na baada ya hapo ni 'mtumiaji wa simu unaempigia kwa sasa hapatikani'
 
kama huna shida na OS, tafuta nokia s60v3 au s60v5, kama n96, n97, 5800, 5230
 
Hehehe ideos betri sio nzuri lkn mimi ilikuwa inanifikisha hadi jioni

Back
Top Bottom