What is the cheapest smartphone i cn get in bongo?

nina nokia E61i kama una usd 340 nkuachie ina wik tatu original made hungary 7 & 8 imei digits are01 eagizwa toka us full package.
 
Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp

Yoyote utakayo mkuta nayo teja(mla unga) utauziwa cheap(i bought sony ericsson W880i kwa 5,000/= na Xperia X10i kwa 25,000/=

Usiwatembelee ukiwa ujajipanga vizuri(maana watakunywa hiyo yako wanletee kwa 2000/=)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom