kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,481
Baadhi ya watumiaji wanachelewa kupata usingizi kama ajatumia hii mambositetei ila tujalibu kuongea ukweli kuhusu hili. hivi ni kweli watumiaji wa bangi wanapata tabu kupata usingizi au ni myth za watu wachache.