What is special about cannabis sehemu ya pili (2)

What is special about cannabis sehemu ya pili (2)

Hata halima mdee hii kitu imemuathiri kwa kiwango kikubwa sana.
 
View attachment 594796 hiyo ni home preparation niliwatengenezea watu wangu waliokuwa na maumivu ya viungo na wanasema iko vizuri sana kuliko zile pharmaceutical products kwa kifupi ni cannabis oil
Hongera sana mkuu. Sorry nataka nijue kitu kuhusu kuandaa hayo mafuta. Nmefuatilia video za Rick Simpson kuhusu hayo mafuta naona alcohol inatumia sasa nataka nijue hiyo alcohol n aina gan je naweza kutumia hata konyagi
 
kuhusu hii kush oil mie huwa natengeneza Mwenyewe kwa ajili ya matumizi ya nje tu na sio ndani ila yale ya kutumia kwa matumizi ya ndani ya mwili bado nipo kwenye Mchakato wa kuangalia njia fupi zaidi jinsi ya kutengeza.
hizi ni pro chache unazoweza zifuata ni simple
*hukuwa mmea wako ila uwe mkavu kama utaupta kwa pusha inakuwa vizuri zaidi kwasababu mzigo unakuwa tayari kabisa umeandaliwa.
*andaa mafuta yako hapa itatengea mafuta gani ambayo ni rahisi kupata ila napendekeza mafuta ya nazi kwani yapo mengi na cheap kidogo.
*kinachofata una saga ile bangi kama vile unavyofanya wakati wa kuvuta ila hii utaweka pamoja na mbegu zake. unaweza kutumia zile shada pakti hata sita ila ni upendeleo wako kama unataka kitu strong sana unaweza tumia hata shada kumi au ishirini.
*chukua kikaango au Sufuria tia cannabis yako humo alafu pitisha kwenye moto wa chini sana ili siungue kama unakaanga vile ikanza kuwa brown weka mafuta yako kumbukumbu ku control moto usiwe mkali sana.
*muda wa kupika cannabis kwenye mafuta kama nusu saa hivi inakuwa tayari kisha utachuja kwa kitambaa.
utaacha yapoe hapo inakuwa tayari kwa matumizi test yake unaweza kumpaka mtu yoyote mwenye maumivu alafu yeye ndio atakupa jibu kama kitu ni konk au bado.
 
Hongera sana mkuu. Sorry nataka nijue kitu kuhusu kuandaa hayo mafuta. Nmefuatilia video za Rick Simpson kuhusu hayo mafuta naona alcohol inatumia sasa nataka nijue hiyo alcohol n aina gan je naweza kutumia hata konyagi
kuna alcohol inaitwa grain alcohol 70%v/v kuna wengine wanatumia butane ila njia hizi inabidi uwe makini sana kwani vinalipuka. konyagi sio rafiki sana 35%v/v labda kama uweza pata ile kali zaidi ya konyagi nadhani itakuwa poa sana.
 
Hata halima mdee hii kitu imemuathiri kwa kiwango kikubwa sana.
sasa rafiki yangu halima ni chizi yule from birth alafu anaenda kupiga sativa unadhani ataweza kupata nafuu.. hii kitu inataka kichwa safi bhna.
 
kuna alcohol inaitwa grain alcohol 70%v/v kuna wengine wanatumia butane ila njia hizi inabidi uwe makini sana kwani vinalipuka. konyagi sio rafiki sana 35%v/v labda kama uweza pata ile kali zaidi ya konyagi nadhani itakuwa poa sana.
Asante ndugu. Na upatikanaje wa hiyo grain alcohol ukoje hapa bongo
 
tincture-in-progress-crop-u31819.jpg
kuna hiyo product nyingine inaitwa cannabis tincture nipo kwenye process za kutengeza.
 
Macho mekundu yanaleta image mbaya ktk jamii,wengjne ni watu na heshima zetu
tumia kuna dawa flani hivi ya maji unatia kwnye macho
unaweza kujua kwa kutofautisha miti yake maana inatofauti kubwa sana hata kipofu unaweza kumpa maelekezo juu ya tofauti zake na akafanya kama ulivyo muelekeza
miti yake ikoje na je ambayo tayar imechambuliwa
 
Duane Stephenson – Marijuana Lyrics
[Intro:]
The sergeant general once
Cigarette smoking
Is dangerous
Dangerous
Don't you care for your health
It's dangerous

[Verse:]
Deep in the mountains far from every where
Nestle in the valley where the cloud disappear
Marijuana grows the children with so much care
Where the cold wind blow and no mare truly knows of the
Wisdom
All the wisdom
And the courage that you show

[Chorus:]
Marijuana
Marijuana
You show your children you truly truly care
When all is gone and I'm going anywhere yeah
Marijuana
Marijuana
Though some people mek try to fight you down
You spread love and joy all around yeah

[Verse 2:]
Dem chop you up
Dem break you down
Dem lighta a fire but the smoke is still around
Marijuana the smoke is still around
Some intellects may say
When you going plan marijuana can lead the way
Marijuana
How is there to save the day

All around all around
Marijuana
You spread love and joy all around

[Verse 3:]
A bagga to face people
Dem all a try fi? Your name
Through the poor man keep you so close to him heart
You nuh fraid fi call pon you name
Dem use to be your friends before
Dem use to always a knock pon your door
But know that dem livin sweet
Dem all a fight you fi feel complete

[Chorus:]
Marijuana
Marijuana
You show your children you truly truly care
When all is gone and I'm going anywhere
Marijuana
Marijuana
Though some people mek try to fight you down
You spread love and joy all around yeah

[Verse:]
Deep in the mountains far from every where
Nestle in the valley where the cloud disappear
Marijuana grows the children with so much care
Where the cold wind blow and no mare truly knows of the
Wisdom
All the wisdom
And the courage that you show

[Chorus:]
Marijuana
Marijuana
You show your children you truly truly care
When all is gone and I'm going anywhere yeah
Marijuana
Marijuana
Though some people mek try to fight you down
You spread love all over the ground
All around
Marijuana
You spread love and joy around

[Verse 2:]
Dem chop you up
Dem break you down
Dem lighta a fire but the smoke is still around
Marijuana the smoke is still around
Some intellects may say
When you going plan marijuana can lead the way
Marijuana
How is there to save the day
 
tumia kuna dawa flani hivi ya maji unatia kwnye macho

miti yake ikoje na je ambayo tayar imechambuliwa
kuna picha nime post time ago inaonesha tofauti za miti yake ila sasa huwezi kujua tofauti ya miti kama ikiwa imechambuliwa hapa kwetu wanapanda miti yote pamoja wakati wa uvunani inavunwa pamoja hapo ndio wana mix zote ila kama unaweza unaweza panda hii mmea alafu unakuwa unatofautisha aina yake ila kuna pia kuna vitu vingine hapa itabidi ujifunje kuja difference ya male & female plants. kwahiyo itakubidi uanze kufatilia tofauti zake kwenye source mbali mbali ktk network.
 
Back
Top Bottom