elixer of life
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 626
- Thread starter
- #41
sio kweli inakubidi ukasome upyaBhangi haifai jamani isikieni tu mana ukiwa na ndugu ambaye ameathiriwa na bhangi ndio mtaelewa.
sio kweli inakubidi ukasome upyaBhangi haifai jamani isikieni tu mana ukiwa na ndugu ambaye ameathiriwa na bhangi ndio mtaelewa.
nafanya mpango wa indoor cultivation nadhani tutaanza kupata kitu safiHilo ni tatizo aisee,nimeona na wakulima wa arusha nao wameanza uhuni huo,nahisi ni sababu ya kuogopa kuchomwa moto mashamba.Sikuizi ganja nzuri inapatikana kwa tabu sana.
unaweza kujua kwa kutofautisha miti yake maana inatofauti kubwa sana hata kipofu unaweza kumpa maelekezo juu ya tofauti zake na akafanya kama ulivyo muelekeza
It’s Coz of the “pressure”. Specifically, THC in marijuana causes the inner-eye pressure to decrease after use. When the pressure drops in your eye, the small blood vessels have room to expand, causing redness in eyes.Macho mekundu yanaleta image mbaya ktk jamii,wengjne ni watu na heshima zetu
kuna watu waliooshwa akili na wakaambiwa kuwa ni mbaya ndio wasema hivyoBangi inatibu kansa zaidi ya 29 tofauti tofauti,nani kasema bangi ina shida?
hiyo ni kwasababu yy kaiandaa akili hivyo kwanini asipate kulala.Baadhi ya watumiaji wanachelewa kupata usingizi kama ajatumia hii mambo
sio kweli unajua kuwa kuna watu huwa wanataka kupewa maneno mabaya tu wenye. ndio maana niliamuambia aliesema vile kuwa kanilazimisha kusema hilo neno ila kama unataka kujua zaidi kuhusu mambo haya inabidi ujenge mazoea ya kusoma kila kitu unachosikia ndio utajua ukweli wa mambo usipende kuamini maneno ya kuambiwa ni mabaya sana.Bangi sio nzuri wajameni. Mleta mada kavuta Bangi ndio akaja kuandika uzi humu, akipingwa kwa hoja anatukana watu afu anajiona bado yupo sawa.
Nimegundua jambo kwenye huu uzi, jambo lenyewe ni kwamba wanaomsapoti mleta mada nao pia ni wavuta Bangi na wengine washavuta tayari.
Itoshe kusema mimi huwa sijadiliani na wavuta bange Hivyo sitaraji kuona mvuta bange akiijibu post yangu.
Jumapili njema
Marry jane ni miongoni mwa nicknames za bangi,So sad umeachwa hoi kwa kitu ambacho hujui.Kaniacha hoi eti bangi inaitwa maryjane nadhan akimaanisha marijuana. Anasema imeandikwa sana kwenye bible ila hajataja kifungu. Ila naona tayar keshavuta sijui kama tutaelewana naye. Akina kayaman wanajaribu kuhalalisha bangi wakat tuna ushahid wa watu wengi wame wehuka kwa sabab ya bangi. Na wengine wamekuwa viongoz wakubwa ila madhara ya bangi yanaonekana bado.
ni kweli inakuwa ngumu mtu wa kawaida kutofautisha mmea na mmea gani ni mzuri kwa muda gani, ila kama ingekuwa halili hapa kwetu nadhani watu wangejua tofauti zake maana kwa wenzetu huku ukienda cannabis dispensary unachangua aina gani ya mmea unataka kutumia na zina kuwa zime specify kiwango cha compounds kwa asilimia.Kwa wavutaji wasiokua shamba hii ni ngumu maana miti hawaioni, unaenda kwa pusha unabeba kete unaseoa. Ila itakua njema sana kama atatokea mtu mwenye aina tofauti ya dawa
hamna ukweli wowote mkuusitetei ila tujalibu kuongea ukweli kuhusu hili. hivi ni kweli watumiaji wa bangi wanapata tabu kupata usingizi au ni myth za watu wachache.
alafu huyo jamaa hajui kuwa kitu cha haram kina nicknames nyingi kulikoMarry jane ni miongoni mwa nicknames za bangi,So sad umeachwa hoi kwa kitu ambacho hujui.
Wazo zuri mkuu.elixer of life fanya mpango uanzishe Mary jane spesho thread,ila upunguze kutema yai,wengine lugha ya malkia inawapiga chengaNawaona wakuu wa kijiti mnapeana nondo fungueni jukwaa malaamu ya Mary jane watu wapate wasichokijua
Tatizo sio bangi tatizo ni kichwa cha huyo ndugu yako,ingalikuwa ganja inaleta uchizi basi machizi wangefurika mtaani sababu wavutaji ni wengi sanaBhangi haifai jamani isikieni tu mana ukiwa na ndugu ambaye ameathiriwa na bhangi ndio mtaelewa.
Fanya ivo mkuu nitakuwa mteja wako.nafanya mpango wa indoor cultivation nadhani tutaanza kupata kitu safi
tatizo kitu watu hawajui kwamba bangi inatenda kila mtu kwa njia tofauti tofauti, kuna jamaa moja alikuwa akisha kula dry yake anakunywa na maji anakuambia hapo kashiba wakati mwingine akipiga kitu anataka kula.Tatizo sio bangi tatizo ni kichwa cha huyo ndugu yako,ingalikuwa ganja inaleta uchizi basi machizi wangefurika mtaani sababu wavutaji ni wengi sana
Marry jane ni miongoni mwa nicknames za bangi,So sad umeachwa hoi kwa kitu ambacho hujui.
Relax mkuu,huu uzi nmeufungua leo na hiyo msg yako ilikuwa ya mwanzoni so nmekujibu kabla hata yakufungua page ya pili,na hii ni open forum kama hutaki kukosolewa usiandike chochote. Hata kama watu mia walikuwa wameshakujibu hainizuii mimi nisitoe mchangu wangu. Na siku nyingine usikurupuke na kuachwa hoi kwa kitu usichokijua.Sion neno jipya uliloongea. Umesubiri mtu atoe maana nawe umekuja kurudia. Mbona kuna jamaa mmoja alishaongea hapo juu?nawe kwa kutaka kuonesha nawe unajua jua? We maryjane vipi?watu tushaachana na hiyo topic mama