What is it?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,617
I don't know what is but every time I see her I get this funny feeling (in a good kinda way). She's not drop dead gorgeous. She's not a Beyonce or anything like that. Typically, she's not the one that would turn your head and say diiizzzaaayuuuum. But I have watched her for a minute now and I just can't put my finger on it on what it is about her that gives me that feeling...



I think it's her swag. What d'ya'll think?
 
Ma-friday haya baba'ke, sina muda wa kuumizana kichwa na mende mzushi...hiyo choposi hata mimi ndio mapigo yangu, uaga napenda miili hiyo halafu lazima iwe dark kunizidi!!...unaenda nayo sehemu kama hii kupata wine na muziki laini...BiNA Osteria | Thrillist

Tunaita Black Coffee no milk no cream.....
Maweekend haya ngoja nikachungulie Transporter 3, Naona jamaa anatesa na Audi tuu.
 
Twi twi twi twi itabidi umpigie msele NN ili umkokote huko kwa movies, maana naona longolongo la JF linamfanya anakuwa hana life kabisa yaani!! tunampoteza hivi hivi kijana mwenzetu :D

December hii mie nataka movie soft soft, ma-movie ya ki-gangwe mtayaweza ninyi kina mbavu nene lol..!! Ila nitaenda kuangalia movie inayokuja ya Tom Cruise, monday atakuwa kwenye TODAY na Matt Lauer....Ukipata nafasi kaangalie Frost/Nixon, ina maudhui kama ya GOODNIGHT AND GOODLUCK (George Clooney) au MILK (Sean Penn) classic flani hivi na Nothing like the holdays (John Leguizamo)..

Nothing Like the Holidays - Official Movie Site

wkend njema..

Tatizo lako wewe dogo ulabu ndo unaona life! Mimi mwenzako niko versatile. Candy shop kwa sana, no kujirusha kwenye mivilabu ya muziki, only the grown and sexy type of joints e.g. Luckie Lounge halafu nakunywa kwa moderation sio kama unakunywa hadi unazima halafu unajinyea mwenyewe ahahahahahahahaah
 
Tatizo lako wewe dogo ulabu ndo unaona life! Mimi mwenzako niko versatile. Candy shop kwa sana, no kujirusha kwenye mivilabu ya muziki, only the grown and sexy type of joints e.g. Luckie Lounge halafu nakunywa kwa moderation sio kama unakunywa hadi unazima halafu unajinyea mwenyewe ahahahahahahahaah

Mambo ya kuutwika ulabu mpaka unazima na kujinyea.:D..:D..:D..lol....kisha jamaa wanakula ki'pumpkin' hahaaaaaaaaaaaaaa
 
Haya bana, msee wa Luckie Lounge, mwenzio naenda kwenye Osterias....:D I-check hiyo BiNA huko juu halafu nambie kama ni spot ya kina Kalimanzira na kina "yo' whats up's"!!

Ni "worup" bana kama Sauti ya umeme anavyokwambia...lol

Hiyo establishment imekaa freshi ila sijui watu wanaokwenda hapo ni types gani...dizani ma weirdos kibao hapo au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom