What is great thinking? Who are the great thinkers?

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Uzi haujafika mbali ashapatikana mtu pole sana
 
Hajakujibu kwa kuwa amekudharau maana watu wa aina yako ndio mwamtukana na kumkashifu kila Siku
 
Hajakujibu kwa kuwa amekudharau maana watu wa aina yako ndio mwamtukana na kumkashifu kila Siku
Hana cha kujibu coz nimemuelezea vile alivyo,naona na wewe ni katika wale wanaoshobokea u-team,subiri aje a like hiyo comment yako kwa kumkingia kifua But great thinker siku zote hujibu aliloulizwa na huliwekea ufafanuzi ili aeleweke.
 
Uzi haujafika mbali ashapatikana mtu pole sana
Acha kua na mawazo mgando changamsha hilo bichwa,ina maana kwako wewe tafsiri ya kua great thinker ni mtu anayekubaliana na kila analoliandika huyo mleta mada? ukimpinga au ukimuuliza jambo unakua sio great thinker? hicho ndio kipimo cha u great thinker ulicho aminishwa na mleta mada?

Huwezi kulazimisha kila mtu akubaliane na kila jambo unalolileta hapa jf,JF ni open forums,acha kua na akili za kushikiwa,tumia akili zako kupambanua mambo na kutafakari na usiwe mtu wa kuburuzwa na akili za mtu mwingine.
 
Ni kweli kabisa uliyosema...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...

Wote wenye tabia za kuwasema wenzao vibaya au kuwaanzishia varangati zisizopendeza ni wa kuwapuuzia tu...

Live your life the way want not how they way they want...

Cc: mahondaw
 
Ila usiwadharau kihivyo.. waache watu wajiju na yao

Hata wa ID za kutumia majina yao ya kweli bado wana fake IDs
 
Ila usiwadharau kihivyo.. waache watu wajiju na yao

Hata wa ID za kutumia majina yao ya kweli bado wana fake IDs
Ni mwendelezo wa ujuha uleule kuwa verified halafu urudi kwa utambulisho bandia...
 
Hana cha kujibu coz nimemuelezea vile alivyo,naona na wewe ni katika wale wanaoshobokea u-team,subiri aje a like hiyo comment yako kwa kumkingia kifua But great thinker siku zote hujibu aliloulizwa na huliwekea ufafanuzi ili aeleweke.
Sibishani na wewe tema povu uwezavyo au ikiwezekana utukane kabisa ili uutue mzigo wa SUMU ulioubeba
 
Siwezi kubishana na wewe
 
Sibishani na wewe tema povu uwezavyo au ikiwezekana utukane kabisa ili uutue mzigo wa SUMU ulioubeba
Povu ulianza kulitema wewe kwa kujitwisha mzigo wa kujifanya kua wewe ni msemaji wa mleta thd ila umesoma alama za nyakati ukajiona jinsi ulivyokua hujielewi,so fuata kama nilivyokushauri, kua na maamuzi yako na usiwe na akili za kushikiwa na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…