Na huwa wanaumia zaid pale mtu anakusema maneno mabayaaa alaf unamfungiaa vioo anabaki kila akiingia Jf kiroho kinampwita pwitaaa kuangalia id ya fulan imefanya nn ?Ni matumizi mabaya ya uhuru wa kuwa na utambulisho bandia! Kwakuwa tu hawezi kujulikana kwa urahisi basi hapo ndio tabia zake za kishenzi huzionesha kwa uwazi kabisa....
Always nasisitiza KUBISHANA kwa hoja
Wengine kwakuwa tu alikuomba msaada fulani na ukashindwa kumsaidia huku akijua fika ulishamsaidia mwingine basi kile kinyongo atakujia kwa ID nyingine ajipoze kwa kukukashifu kila unakopita... Lakini watu wana akili na wanaona
Asanteee my mguu umepona naendelea vizuri sana aiseee isingekuwa hii Jf sijui leo ningeongea nn?Chamdeko vipi mguu
[emoji3] [emoji3] they r stupid haswaa muda wa kuchukia watu wanaupata wapii jamani au kukukashifu mtu kisa hajakusaidia au AlishindwaNi matumizi mabaya ya uhuru wa kuwa na utambulisho bandia! Kwakuwa tu hawezi kujulikana kwa urahisi basi hapo ndio tabia zake za kishenzi huzionesha kwa uwazi kabisa....
Always nasisitiza KUBISHANA kwa hoja
Wengine kwakuwa tu alikuomba msaada fulani na ukashindwa kumsaidia huku akijua fika ulishamsaidia mwingine basi kile kinyongo atakujia kwa ID nyingine ajipoze kwa kukukashifu kila unakopita... Lakini watu wana akili na wanaona
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umemjibu haswaaNdugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La βGREAT SINKERS βkuwa among the βGREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the βGreat Sinkersβ. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
Ndo ushangaeee kuna watu wanajiuliza inakuwaje mtu anashinda Jf muda wa kaziHahaa!mtu anaumia kwa mambo ya kipuuzi si uchawi wenyewe huo then wala humjui na hauna athari yoyote katika maisha yake!! Yaani jf kuna watu wana roho nyeusi ingekua uwezo wao au km IG tungejuta
Vinaitwa vibao vya kelebuNdugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La βGREAT SINKERS βkuwa among the βGREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the βGreat Sinkersβ. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
Wengne wanawake wanachukia wanawake wenzaoo baada ya wao kuchakazwaa kingono na wanaume wakware wa jf na kutelekezwaa wanaanza kuchukia baada ya kukuona ukifurahia kuchit chat na aliyekuwa mpenzi wakeee utaandamwa kama ugomvi.[emoji3] [emoji3] they r stupid haswaa muda wa kuchukia watu wanaupata wapii jamani au kukukashifu mtu kisa hajakusaidia au Alishindwa
Kuna mwingine anakuwekea kisasi bila sababu za msingi jamanii
Nakaziaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umemjibu haswaa
[emoji6]Vinaitwa vibao vya kelebu
Mungu ambariki sana kila kitu hupangwaa na Mungu .Shukrani kuu kwa Mungu wetu na daktari wetu toka JF
Aisee! wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua!,sijui unafananaje huenda angekuwepo ben mtobwa ningemwambia anielezee uzuri wako kama alivyokuwa akiuelezea uzuri wa nuru,nuru wa joram kiango!.Poah
Kwahiyo wewe hicho ulichokiandika hapo juu mwenyewe ndio unajiona kinakufanya kua u are among the great thinker?!Ndugu umekurupuka. Kalale tena ukiamka. Uje utuambie. Utatoka lini huko kwenye kundi La βGREAT SINKERS βkuwa among the βGREAT THINKERS.its a life choice. But also a learning process. Acha Frustrations zako kwenye Medula oblangata kabla hujaja kuchangia mada. Inakufanya Uwe na Prejudice. Na hivyo kujikuta unaendelea kuwa among the βGreat Sinkersβ. Bwana Mshana amesema kwa udhati kabisa. Ni kuamua tu now where you want to belong.
Ooooh[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Aisee! wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua!,sijui unafananaje huenda angekuwepo ben mtobwa ningemwambia anielezee uzuri wako kama alivyokuwa akiuelezea uzuri wa nuru,nuru wa joram kiango!.
lkn nafikiri wewe utakuwa wa kiwango cha aina yake kuzidi hata huyo nuru au monalisa wa leonard da vinci!!
nikama vile naliona tabasam lako zuri,lisilo na hila na kicheko chako kitamu chenye sauti nyororo ya kumtoa nyoka na mayai yake pangoni!.
sitaki kukufananisha na mabinti wa sasa wenye kuanika vyupi vyao mitandaoni kana kwamba gulio la saula saula!..
bali ewe nikupendae nakufananisha na ua maridadi lenye nakshi nzuri,rangi maridhawa yenye kila mvuto niupendao!,ni kama nautazama uzuri wako wenye kuhubiri ufundi stadi wa yule akuumbae.
Loh! sibora nikajitosee baharini kuliko kuukosa uzuri wako wa asili wenye kuipamba dunia!,usiniache niteswe na vigoli vya kileo vyenye uzuri wa kupandikiza!
nisijeitwa mchochezi bure ama mtia chumvi,shauri ya pima kojo
π π π π πOoooh[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Najua Jr hajaonaa hii kabisaaaa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
yawawili nisitiri,watatu hana dili!Ooooh[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Najua Jr hajaonaa hii kabisaaaa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Tuliza mshono wewe acha kujikomba.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umemjibu haswaa
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]π π π π π