What is "DEEP STATE"

Rockerfella family sizani kama ina kosa mwakilishi umo Deepstate
Kuna powerful people ambao wanalinda maslahi yao kwa gharama yoyote na wana ushawishi mkubwa chini kwa chini juu ya nani awe nani kwa maslahi yao. au ya nchi
 
Kuna powerful people ambao wanalinda maslahi yao kwa gharama yoyote na wana ushawishi mkubwa chini kwa chini juu ya nani awe nani kwa maslahi yao. au ya nchi
Nadhani kama hao wanaotengeneza hiyo deep state hapa Bongo basi wengi wao watakuwa waganga wa kienyeji.
 


 
Ndio wapo mkuu.Deep State ya Dunia actually ni the NWO.Sasa kwa vile NWO Elite hawawezi kuwa kila mahali,wamejiundia intelligence organizations kama CIA,MI6 au MOSSAD.Vikundi hivi ndivyo vinavyo tekeleza malengo yao Dunia nzima.

Soma hii👇


 
Kuna watu wana script ya yote yanayotokea duniani..namaanisha kila kitu..! Hata haya majanga mengine mfano corona..wanasababisha wao..wako busy kupush agenda zao..mega projects na vitu kaa hizo..
 
Mkuu hawa Deep state wa Tanzania vipi wana kiongozi wao au na ana julikana kwa cheo kipindi?
Wana ofisi maalum au? Kwenye Deep state baadhi ya wapizani wamo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…