What is "DEEP STATE"

Ndio hivyo mkuu
 
Kuna video moja niliangalia YouTube,Kuna former US Government official kwenye serikali ya Bill Clinton (I think alikuwa one of the advisers wa Bill Clinton).Anasema kuna siku kipindi hicho rais Clinton alikuwa anataka ku sign executive order kuruhusu CIA and Pentagon watoe classified files kuhusu UFO and Alien existence ili Clinton aeweze kuwa full briefed kuhusu classified UFO files.Sasa kuna Afisa mmoja wa wa juu wa pentagon alimtembea nyumbani kwake akawa anamwambia akamshauri rais Clinton aachane na mpango wake kwani anasikitika watashindwa kumlinda na ataishia kama JF Kennedy,yaani kupigwa risasi/kuuawa.Anasema alikuwa anaskia tu kuhushu deep state lakini siku hiyo ndio aliamini kuna watu wana run America above president.
Yaani Deep State wanaamini president wa US ni temporary Employee,hivyo hatakiwi kujua kila kitu wala hatakiwi kuambiwa kila kitu.Kuna some top secret national security plans and infos presedent hatakiwi kuambiwa wala kujua na siku akijua wanam neutrolize chap.Jamaa anakwambia alienda kumwambia Clinton kwamba aachane na mpango wake.Ndio hadi leo unaskia mambo ya UFO yanabaki kuwa speculations tu ila kuna watu wachache huko Pentagon na CIA wanajua issue nzima..."DEEP STATE EXIST" wala sio conspiracy.
 
Nimesoma post na comments kwanza then ndiyo niongee nacho kifahamu pia.
Kuna mdau kasema kuwa hawapigi kura sio kweli kwanza watu wa aina hii hawajulikani ni akina nani ni jinsi gani na ni wangapi ila ni binadamu kama sisi ( inasemekana na wengine wapo wasio binadamu wa kawaida) na kura wanapiga ambao ni binadamu kwasababu nao pia ni sehemu ya watu wa eneo flani nchi yoyote.

kwa upande wa Africa sio rahisi waamue nani apite kutokana na utaratibu unaotumika kuwapata viongozi lakini wao watakuongoza ukisha chaguliwa kuwa Rais wa nchi flani watakufata na wanataratibu za kukupatia hata kwa vitisho.
Ndiyo maana ukiwa kiongozi mzuri africa watakufanyia figisu kukuchukiza na wananchi wako mfano gadafi analaumiwa au kuhisiwa Obama lakini kuna watu nyuma ya Obama.

nasema africa hamna kwasababu wangekuwepo kusingekuwa na nchi Rais kukaa madarakani muda mrefu, kwahiyo sisi hatuna ila wapo wanao waongoza marais wote baada ya kuchaguliwa nao sio wa nchi zetu ni wanje ambao wengine wanahusishwa na freemasonry na devil 👿 worshipers.

ni Sawa sawa na papa wa dunia ( samahani waroman catholic) inasemekana pia wao ndio wanamchagua papa wa kumweka au kumpachika.

hawa watu wapo na sio wachache kunakuwa na wengine ambao wanaandaliwa kwasababu kuna kuzeeka na kufa kwahiyo lazima wabaki watakao endeleza. Inasemekana hawa ni binadamu wenye maarifa ya ziada kulinganisha na binadamu wa kawaida wengine wanadai ni viongozi wakubwa wa freemasonry duniani.

unaposikia mpango wa kupunguza na kuwa na idadi flani ya binadamu ni hao hao wanao tengeneza taratibu. Hawawezi kushindwa kumuongoza kila kiongozi kwasababu ndio wamiliki wa mabank yote makubwa duniani.
 
Sure mkuu hii kitu "deep state" ni pevu sana na inahusisha watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii.


Nakuhakikishia wanaojua alipo Mkuu #1 ni wachache sana yawezekana hata VP na PM pia hawajui wanaimba napambio tu kama MATAGA hakuna wanachojua
 
Duuh!
 
Visivyojulikana ni vingi sana,namimi nimewahi kufikiria hayo yanayosemwa,kua nchi hii,na baadhi,kuna watu wana maamuzi zaidi ya Rais.
mbona wapo muda mrefu sana. na ubaya ni kwamba watanzania wengi hawwafaham hawa watu. ila wapo.. japokuwa mmoja wao aliondoka juzi juzi. wamebaki wachache
 
Ukiingalia Series ya Salvation... Inaeleza haya kwa upande wa siasa... Yaani kuna nguvu pembeni yenyewe ndio inaamua nani awe kiongozi kwa namna wajuavyo... Binafsi naamini kwamba hakunaga kitabu ama movies inatengenezwa nje ya mfano halisi wa maisha halisia...
Ili uweze kutengeneza wazo jipya... Basi lazima kuwepo na wazo halisia lililopata kuwepo
 
Kabisa mkuu...pia nitaitafuta hii series niicheki,Napenda sana story za aina hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…