What is "DEEP STATE"

What is "DEEP STATE"

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,701
An alleged secret network of especially nonelected government officials and sometimes private entities (as in the financial services and defense industries) operating extralegally to influence and enact government policy.

The power of the deep state comes from experience, knowledge, relationships, insight, craft, special skills, traditions, and shared values. Together, these purported attributes make nameless bureaucrats into a supergovernment that is accountable to no one. That is a scary prospect.


mwenye uelewa mpana kuhusu hawa jamaa atujuze nasikia nchi kama US ndio wanaongoza behind the elected Prezidaa ndio maana anaweza kuahidi chochote halafu asitekeleze au wakamuondoa kama wanaona anazuia maslahi yao au anapindisha DIRA ya Taifa.

Nasikia pia ndio wanapanga
nani aongoze nchi
nani awe makamu
nani awe PM

Ukikiuka miiko yao wanakufitinisha na wananchi ili wapate sababu ya kukuondoa kidemokrasia ikishindikina ndio wanatumia "other means".

NB:Kila nchi ina hii kitu including Tz huwa wanalinda maslahi ya nchi (kwa nchi zilizoendelea) au maslahi binafsi kwa nchi zinazoendelea, sio lazima wawe raia wa nchi husika wanaweza kuwa hata raia wa nchi nyingine wanasimika kiongozi wanaohisi ana maslahi kwao. Wanamkontroo kwa rimoti akiwazingua wanamchenjia.


Hapa kwetu wapo??
 
Nasikia "eti" kwa USA hawafiki hata 7...hawaingii kwenye bunge lolote, hawana mihula ya uongozi, hawapigi kura yoyote katika kumchagua rais, ila wakisema hautakuwa rais kamwe usijisumbue na hata wakikuingiza kwenye urais ukakosea ukagusa maslahi yao basi "unaisha" haraka!

Kama zilivyo conspiracy theories nyingine USA wanadai ni wayaudi, wengine eti ni wakatoliki flan hivi wanaolindwa na vatican...
Nanogesha tu story jamani!
 
Bro Sina soft copy Ila unaweza kuki download kirahisi sana toka " Any book.com" kwa malipo kidoogo sana ama unalipa 16k unapata life membership na kuweza kusoma kitabu chochote vya huko duniani.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom