What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Na Shopers Plaza ipo kata gani!

Lets go this way ritz...
Mpaka kati ya Mikocheni na Msasani ni Barabara ya zamani ya Bagamoyo,
sawasawa?
Figures maarufu za Mikocheni ni Shoppers' Plaza, Shule ya FEZA Praimari na Restaurant PIZZERIA bila kusahau vituo vya mafuta vya Engen na BP jees to mention the few,
sawasawa?
Eneo ulilolitaja la Maandazi Road linaangukia Msasani katika muktadha huu, features zingine ni pamoja na MayFAIR Plaza, ofisi za TANESCO Kinondoni North, Heinneken The Arcade, Kawe Beach, Msasani Club, Msasani Beach Club(do not comfuse with the first one), Dar Villas, US Embassy na nyumba ya the African Legend, The one and only, the man himself, THE LATE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE!
Zamani nikiwa mdogo, eneo la Mikocheni 'A' lilikuwa sehemu ya kata ya Msasani, na diwani by that time was someone Mwaimu wa Msasani, mchanganuo niliouonesha hapo juu ndio hali halisi ya sasa!
Swali?
 
Mkuu uli skuli mikocheni A au?

hapana mkuu, mimi nimeskuli Msasani S.M.
Ila nimeishi Mikocheni karibu maisha yangu yote, and well detailed kuhusu Mikocheni S. M. Nawafahamu walimu Samgeni, Kondo, Golden, Kilongo, Makava just to mention em few.
Ni-PM tuseme zaidi!
 
Vp pale kisiwani- msasani nyuma ya myfair wakazi wa pale wameshalipwa wote?
 
Mphamvu,
Nashukuru kwa ufafanuzi wako murua, na Kawe inaanzia wapi inashia wapi?
 
hapana mkuu, mimi nimeskuli Msasani S.M.
Ila nimeishi Mikocheni karibu maisha yangu yote, and well detailed kuhusu Mikocheni S. M. Nawafahamu walimu Samgeni, Kondo, Golden, Kilongo, Makava just to mention em few.
Ni-PM tuseme zaidi!

Kweli unaijua Mikocheni vizuri pamoja na Msasani..

Kesho takupa ofa ya Bufee pale Shopers Plaza!
 
Vp pale kisiwani- msasani nyuma ya myfair wakazi wa pale wameshalipwa wote?

sifahamu aisee, hatukuzungumzia hilo.
Kwa sasa kuna mpango wa makazi kwa huku Mikocheni 'A' unaoratibiwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi kwa kushirikiana na NHC. Cant wait for that project, since Mhe. Mbunge ameahidi kuwa atahakikisha kila mwananchi analipwa stahiki yake na anapewa kipaumbele kwenye makazi mapya!
 
Kweli unaijua Mikocheni vizuri pamoja na Msasani..

Kesho takupa ofa ya Bufee pale Shopers Plaza!

silagi vyakula vya kabila ile, labda unitoe kwa Mpemba pale Maandazi Rd.
Afu kesho nina miadi na mwana-JF fulani, sitakuwa available!
Sawasawa?
 
silagi vyakula vya kabila ile, labda unitoe kwa Mpemba pale Maandazi Rd.
Afu kesho nina miadi na mwana-JF fulani, sitakuwa available!
Sawasawa?

Basi tutaenda Masaki kwenye mishikaki au Kawe Samaki Samaki!
 
Basi tutaenda Masaki kwenye mishikaki au Kawe Samaki Samaki!

ritz unataka kunifanya nini mtoto wa watu?
Mbona unataka kunipeleka viwanja vikubwa? Mi nimekuambia twende kwa Mpemba pale Maandazi Rd, huko kwingine mi sitaki bwana!
 
Ukweli matangazo yalikuwa machache hata mc alikiri hilo
 
Hongera sana dada Halima,tunashukuru kwa kazi nzuri ya kuwatumikia watu wako.
 
Ukweli matangazo yalikuwa machache hata mc alikiri hilo

wanipa raha mkuu. MC kwani sherehe ile?
Mwisho nilikuona umekazana kumwelimisha yule mwana-CCM, ulifanikiwa?
 
Hongera sana dada Halima,tunashukuru kwa kazi nzuri ya kuwatumikia watu wako.

watu wa KAWE ni kati ya watu wachache waliofanya maamuzi sahihi.
Katika mambo ya kitaifa mbunge wao anaonekana na kwenye kero za Watanganyika pia anaonekana.
Bravo dada kibesi!
 
Mbunge wetu Halima Mdee, kumbuka maneno yako matamu kama asali uliyotoa kipindi cha uchaguzi hatimaye wana Kawe wakakupa UBUNGE. Umepita mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu umekabidhiwa dhamana ya kutuwakilisha MJENGONI Dodoma.

Twakushangaa sana unakuwa mkimya kipindi ambacho wananchi twahitaji utetezi wako. Nachukua fursa hii kukukumbusha wapiga kura wako wa Kunduchi Machimboni twapata shida, kuanzia wachimba kokoto, mama nitilie, wauza kokoto na wenye nyumba katika eneo husika twanyanyaswa na uongozi wa wilaya na mkoa. WEWE UPO KIMYA tukuelewaje??

Tulitegemea mara baada ya Mkuu wa Mkoa kutoa tamko la kufunga machimbo, wewe ungetoa msimamo wa kuunga wapiga kura. Mbaya zaidi ofisini haupatikani KULIKONI Mheshimiwa, ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, tulifikiri wewe utakuwa Mbunge bora kumbe AFADHALI wakati wa RITA MLAKI alikuwa karibu na wapiga kura.

Tafadhali njoo utusikilize na kutuunga mkono ili tusihamishwe kwa nguvu na FFU.
 
Back
Top Bottom