Wise men talk because they have something to say, ****** talk because they have to say something!!!!
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!Usifunge mdomo sister,mtoto wa mkulima anasema ukweli kabisa,mimi naamini mbunge ana muda mrefu sana nje ya bunge na anatakiwa kufanya kazi kubwa sana nje ya bunge kuliko bungeni tizama,bunge refu ni bunge la bajeti na hapo wanajadili bajeti kwa asilimia 90 na mabunge mengine ni mafupi mafupi hivyo tunamtegemea mbunge afanye mambo mengi zaidi akiwa mtaani kuliko bungeni
Halima Mdee na wale mabinti wote wa CHADEMA ni wapuuzi na hawajaonyesha uwezo wao kwa kipindi hiki hawqatofautiani sana na wabunge wengi wa CCM ambao wengi utakutana nao Dubai na Singarpore wakifanya shopping za nguo za kuingia bungeni.
Hawa wabunge wa CHADEMA hata juzi kwenye maandamano haakuwemo,Halima Mdee kama mbunge wa muda alitakiwa aonyeshe mfano sasa yeye amefanya Club ndio kwake kila wikend ana skendo club na anatumia hela nyingi sana kuzima skendo hata mii naogopa kuziweka hapa kwani zimezimwa kwa gharama kubwa.
Halima acha utani hii kesi ukishindwa utakuwaq umepotea kisiasa kabisa na ni nakuhakikishia hao mashostito wa bongo hawana mpango watakukimbia mara moja,jipange fanya kazi sisi wananchi wa Kawe tunakuamini ila ukimya wako unatutisha TUTAKUTOSA NA UTASHANGAA;;
Huyu jamaa no fisadi mkubwa au katumwa na James Mbatia kuja kuleta upuuzi humu, watu tuko makini na hoja zako hazina msingi. kama wewe ni KE basi utakuwa utakuwa na wivu na huyu dada sisi tunajua anafanya kazi gani huyu ni mwanasheria na yuko bizy na maswala ya katiba mpya.
Usifikiri CDM ni kama wewe na CCM yako kazi kuropoka tu. mbona hamjadili wabunge wenu ambao kwa muda wa miaka mitano hawakuchangia?
Acheni unafiki humu si kwa wanafiki bali kwa watu wa kweli wanaopenda nchi yao.
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!
Instead of talking issues we are busy discussing upupu......, No wonder Dowans et al Wanatuibia.
Mr Son of a Gun hizi nguvu za kumchambua huyu dada ambaye alidiriki kuachia viti maalumu na kuingia jimboni ungezitumia kuwachunguza owners wa Dowans labda sasa tungekuwa tuna 185 billions kwenye hazina zinangoja kujenga shule....... People we are Fighting the Same Battle kukuomboana Watanzania, Its about time tuache Childish Stuff..... Kama Jokes na Kuliwazana Kuna majukwaa ya Jokes....
UNAPOPATA NAFASI KUWA MBUNGE HASA MWANAMKE KATAIKA MFUMO DUME TULIO NAO NI LAZIMA UONYESHE KWELI WATANZANIA WAMECHAGUA MTU MAKINI NA ANAYEWEZA KUFANYA KAZI NAO NA KUWATETEA
ToKEA HALIMA MDEE ACHAGULIWE AMETUMIA MUDA MREFU KUFANYA HAYA YAFUATAYO
-KUJENGA URAFIKI NA MADADA WA VIWANJA KAMA KINA JIDE NA WENGINE
-KUTAFUTA SULUHISHO LA CHUNUSI ZILIZOJAA USONI MWAKE
-KUTAFUTA MWANAUME WA KUMUOA
-KULEA VISERENGETI BOY AMBAVYO HAVINA MPANGO NAE
HALIMA MDEE AMESAHAU HATA CHAMA KILICHOMUWEKA MADARAKANI KWANI
-HAKUSHIRIKI HATA KWENYE WALKING OUT YA BUNGENI ILIYOFANYWA NA WABUNGE WA CHADEMA BUNGENI ,ALIDAI ALIKUWA ANAUMWA LAKINI KWA UKWELI ALIKUWA NA MASHOSTITO WAKE WAKIPIGA HEINKEN NA KUANGALIA BUNGE KWENYE TV PALE 84 DODOMA
-HAJASEMA CHOCHOTE KUTOKANA NA MAUAJI YA ARUSHA ,YEYE ANAJIPANGA SASA HIVI KUELEKEA MZALENDO ,NA MAISHA CLUB HUKU AKIWA AMEZUNGUKWA NA MASHOSTITO WA KUFA MTU KAMA WIKI ILIYOPITA
-HAJASHIRIKI HATA KUSIMAMIA AU KUSEMA LOLOTE KUTOKANA NA UCHAGUZI WA UMEYA UNAOLETA MTAFARUKU NCHI NZIMA YEYE ANATUMIA MUDA MWINGI SALOON KUONDOA CHUNUSI NA KUTENGENEZA RASTA FEKI
WANAWAKE MNABOA SANA NA MNATUANGUSHA SANA TUKIWAPA MADARAKA MNAPIGA PODA .
NI BORA UCHAGUZI KAWE URUDIWE NA KESI YA UCHAGUZI KAWE HALIMA MDEE ASHINDWE KWANI HANA MAAAANA
NI BORA USHINDWE NA UBUNGE WA VITI MAALUMU UMEISHA URUDI KIJIJINI UKALIME NYAMBAFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU;;
Huyu jamaa no fisadi mkubwa au katumwa na James Mbatia kuja kuleta upuuzi humu, watu tuko makini na hoja zako hazina msingi. kama wewe ni KE basi utakuwa utakuwa na wivu na huyu dada sisi tunajua anafanya kazi gani huyu ni mwanasheria na yuko bizy na maswala ya katiba mpya.
Usifikiri CDM ni kama wewe na CCM yako kazi kuropoka tu. mbona hamjadili wabunge wenu ambao kwa muda wa miaka mitano hawakuchangia?
Acheni unafiki humu si kwa wanafiki bali kwa watu wa kweli wanaopenda nchi yao.
unapopata nafasi kuwa mbunge hasa mwanamke kataika mfumo dume tulio nao ni lazima uonyeshe kweli watanzania wamechagua mtu makini na anayeweza kufanya kazi nao na kuwatetea
tokea halima mdee achaguliwe ametumia muda mrefu kufanya haya yafuatayo
-kujenga urafiki na madada wa viwanja kama kina jide na wengine
-kutafuta suluhisho la chunusi zilizojaa usoni mwake
-kutafuta mwanaume wa kumuoa
-kulea viserengeti boy ambavyo havina mpango nae
halima mdee amesahau hata chama kilichomuweka madarakani kwani
-hakushiriki hata kwenye walking out ya bungeni iliyofanywa na wabunge wa chadema bungeni ,alidai alikuwa anaumwa lakini kwa ukweli alikuwa na mashostito wake wakipiga heinken na kuangalia bunge kwenye tv pale 84 dodoma
-hajasema chochote kutokana na mauaji ya arusha ,yeye anajipanga sasa hivi kuelekea mzalendo ,na maisha club huku akiwa amezungukwa na mashostito wa kufa mtu kama wiki iliyopita
-hajashiriki hata kusimamia au kusema lolote kutokana na uchaguzi wa umeya unaoleta mtafaruku nchi nzima yeye anatumia muda mwingi saloon kuondoa chunusi na kutengeneza rasta feki
wanawake mnaboa sana na mnatuangusha sana tukiwapa madaraka mnapiga poda .
Ni bora uchaguzi kawe urudiwe na kesi ya uchaguzi kawe halima mdee ashindwe kwani hana maaaana
ni bora ushindwe na ubunge wa viti maalumu umeisha urudi kijijini ukalime nyambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu;;
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!
crap