MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Halima ni very bogus
anariinga utasema haihitaji tena kura
wenzie kina Zitto na Mnyika wako humu
ukiwa na shida nao una wa pm tu
yeye hata ukim add facebook full maringo
mimi nakaa tegeta
nalazimika kumtuma Zitto au Ester Bulaya
wampe ujumbe Halima
simpi kura yangu tena
Halima Mdee ni mmoja wa wabunge vijana na wasomi ni kwa nini hajiungi JF kama wengine kutuma majibu ya haya malalamiko???? Je haoni thamani ya mitandao ya kijamii kwa maendeleo ya ubunge wake????
waliopofuka hawaoni hayo wanaona tunamsakama mpendwa wao
LULU ( ELIZABERTH MICHAEL) yule mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya STEVEN KANUMBA (hatuna uhakika kama kweli aliua au hakuua) lakini watu wa mwanzo kukimbia kumtetea na wanaharakati ni HALIMA MDEE akiwa mmoja wa mawakili walijitolea kuhakikisha haki inatendeka, so why not Madale dwellers????
Je,Mdee alikuwa anatafuta umaarufu kwenye kesi ya LULU?
Sawa Mr Bright, Mie naona kama kuna mtu anahitaji kufundishwa udhaifu wa mwanamke katika nyadhifa za uongozi ni wewe. Mwanamke ameubwa kutoka ubavuni mwa mwanaume. Mwanamke ana kazi anazoziweza na si zote. Ebu kwa uelewa wako nitajie mbunge yeyote wa chama chochote hapa bongo mwanamke unayeona ana qualify kuwa kiongozi.
yah, ila mbowe anafanya mambo kichinichini................teh teh teh...na lile besi sijui bedroom inakuwaje, ila Mashallah, tatizo watu wa kawe walimpa kura kwa kuangalia uzuri wa sura, na kuogopa besi lile............Bado hajaolewa, mchumba wake wa mwisho alikuwa Joshua Nasari sijui wamefikia wapi walitangaza hadharani kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki.
Wabunge wengine hasa vijana wamekuwa wanajitahidi sana kuweka feedback zao kwa wanayoyafanya majimboni mwa. Big up kwa John Mnyika na January Makamba. sasa huyu ndugu yetu Halima Mdee mbona hatuoni uwajibikaji wake. au miaka mitano itamtosha.
Bila shaka mtoa mada atakuwa ametumwa na yule shangingi ,fisadi muuza viwanja,mpenda dogodogo janet lite ,hana anachokijua zaidi yakuuza viwanja bunju kule,hata huo udiwani wa bunju aliupata kupitia mgongo wa mh mdee.
Nilikuwa najiuliza kwanini slaa hajamfukuza mpaka leo ,licha ya shutuma zake za uuzaji wa viwanja kuwa wazi ,nikaja kujua kumbe ni rafiki mkubwa wa mshumbusi,na ndie anaemshauri namna yakufanya dili za kuuza viwanja,na huwa anamkatia kidogo.
Na ndio maana slaa anamchukia mh mdee kwani mdee amekuwa mkali sana kwa ufisadi wakuuza viwanja unaofanywa na diwani zuzu lite kwakushilikiana na mshumbusi,jambo ambalo linamkosesha ulaji slaa kupitia kwa mshumbusi.
Mimi ni mkazi wa jimbo la kawe hayo unayoyasema ndo kwanza nayasikia toka kwako,mdee amekuwa karibu sana na sisi kwaujumla wake anajitahidi sana.
Mwambie babu slaa ule mpango wake wakumuhujumu halima kwakutuletea mgombea mwingine 2015 tumeshaushtukia.
Endeleeni na mchakato wenu wakubadilisha uongozi wa jimbo la kawe lakini mwisho wa siku halima atabaki kuwa mbunge wa kawe.
Kumbe shida yako ni yeye kujiunga jf! Naona sasa umeongeza tuhuma? Mbona ujauliza kuhusu pinda kujiunga jf ili ajibu kero zetu?
Yani wewe unazidi kudhihirisha rangi yako! Una kero wa lolote!
Naona unazidi kuongeza tuhuma, sijui nayo ina husiana na ardhi uliyo pokonywa?
ndungulile ni kifaa .....
Ndungulile ni mmoja wa wabunge 11 bora wa timu ya CCM..... first eleven.
Hata ukitaka kumchafua hachafuki kirahisi..... tembelea kigamboni ndipo utajua kwa jinsi gani mbunge huyu anavyopendwa.
Waliobomoa Madale ni watu mliowachagua wenyewe (madiwani wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni) kwa nini hawa hawahojiwi?
Mimi simjibii mama porojo, ila naomba nichangie kama ifuatavyo:-
Mbunge Halima ni mbunge wetu hata kama hatukumchagua. Kwa nini madiwani wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni hawahojiwi ni kweli lakini nani awahoji na kwa nini?
"Akichangia katika mkutano huo, Mbunge wa Viti Maalumu, Rita Mlaki (CCM), alisema serikali imeshafanya utafiti wa kina juu ya kuwepo kwa kigogo huyo na ripoti yake imeshafika mezani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.
Hatuna haja ya kulalamika juu ya jambo hilo… ninajua Serikali ya CCM haiwezi kumkubatia mtu kama huyo," alisema.
Mlaki alidai kwa sasa kuna uhuni unafanywa na wavamizi hao ambapo wanajipanga na kuandaa nyaraka, ili ionekane wazi kuwa maeneo hayo ni mali yao kihalali.
Huku akikitetea chama chake, Mlaki alidai kuwa CCM haiwezi kukubali kigogo huyo aendelee kukichafua chama hicho, hivyo anaamini hatua zaidi zitachukuliwa kukomesha vitendo hivyo vya kifisadi. http://www.dullonet.com/?p=24350