kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,090
- 454
Wana Kawe twamshangaa mbunge wetu kwa vile suala la madaktari alivalilia mbuga kuvunjwa kwa haki za binadamu wakati suala la jeshi la polisi kuwapiga mabomu wapiga kura wake kule Madale yuko kimya??
kwa hapa ni lazima atueleze kwanini anaona hili tatizo ni sawa, wakati diwani, mwenyekiti wa mtaa, na wajumbe wa nyumba kumi hawakamushirikishwa?namshangaa, watu wa kituo cha hakiza binadamu , wako benga kwa benga kusaidia angalao wahanga wapate haki za kibinadamu za kuishai, kuwa hawana chakula hwana malazi hawana vitu wanalala nje,lakini yuko kimya tu.Je hata yuko safarini , hana msaidizi?tumtafute msemaji wa chadema kujua kulikoni, hapa kama ni mbunge bure, ndo wabunge wa msimu.Suala la lulu alivalia bango utafikiri nini leo watu 1000 hawana makazi yuko kimya, ajabu sana.