Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 580
Je, ndugu yangu hili swali ulishamuuliza Waziri wa Ardhi??
Na alikujibu vipi,
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Pole kwa majukumu ya mjengoni Dodoma, mie mpiga kura wako nachukua fursa hii adimu kukuomba uje sehemu husika, Tegeta Namanga utukisikilize namna tunavyoteseka kuishi nje katika kipindi hiki cha baridi baada ya nyumba zetu kubomolewa na Big Bon, tafadhali njoo haraka!

Anasoma hotuba ya kambi rasmi bungeni anasuumbua Prof Tibaijua... mwenye CV kubwa isiyo na tija kwa Taifa... Go on Mdee
mkuu hapo kwenye red vipi hii kampuni bado inamiliki vituo vya kuuzia mafuta tanzania?Napenda kumpongeza mbunge wa jimbo la Kawe mheshimiwa Halima James Mdee kwa jinsi alivyokuwa bega kwa bega na wapiga kura wake wa maeneo ya Tegeta Namanga waliovunjiwa nyumba zao na mwarabu mmoja mwenye sheli ya mafuta.Tuna amini kuwa utapigania haki zao mpaka zipatikane na huyu mwarabu awalipe fidia wananchi kwa uharibifu aliowafanyia.Wabunge wengine hasa wa magamba igeni mfano huu wa kuwa karibu na wapiga kura wenu hasa waoapnkuwa na matatizo.
Tibaijuka ni waziri wa Dar tu! Hajawahi kufanya shughuli zake Mwanza! Uprofesa wa kipuuzi
Anasoma hotuba ya kambi rasmi bungeni anasuumbua Prof Tibaijua... mwenye CV kubwa isiyo na tija kwa Taifa... Go on Mdee
Cv page kumi lakini utekelezaji robo pageAnasoma hotuba ya kambi rasmi bungeni anasuumbua Prof Tibaijua... mwenye CV kubwa isiyo na tija kwa Taifa... Go on Mdee