Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
ayo ni majina ya chakula au sehemu?
wacha tu ndugu yangu....hatukutaka....tulijikuta....
ayo ni majina ya chakula au sehemu?
wacha tu ndugu yangu....hatukutaka....tulijikuta....
bado sijajua kama ni chakula,sehemu,au dawa ya miti shamba,plz preta nifafanulie maana ya yale majina kwangu sijawai ata sikia
yeuwomiii.....msuko chu nangiukia kui.....
tuache tu....tutaongea siku nyingine......
1. Dagaa na ugali
2. Matembele na ugali
3